Siku hizi wenye hela wanatumia Catering serves kulisha misibani ,
Hakuna yale mambo ya kienyeji ya kusubiri majirani wapike ambapo wengine hufanya mgomo baridi makusudi kukomoa wafiwa Eti kwa madai wao Mbona hawapiki kwenye misiba ya wenzao [emoji3526][emoji3526]
Yani maskini haishi nongwa sijui kwanini?!
Tupendane , tusitafutane makosa!