Je, ni sahihi kumgeuza X wako kuwa rafiki yako kindakindaki?

Je, ni sahihi kumgeuza X wako kuwa rafiki yako kindakindaki?

Sasa kama tumeshindwa kua wapenzi kuna haja gani ya kua marafiki. Uzungu huu Mimi binafsi, umenipita.
 
Vile tu kua na namba ya simu katika phonebook yako ya x wako, inaweza kukuletea maradhi ya akili. Haina haja ya kujua au kumfatilia x wako anaendeshaje maisha yake! Achana nae na ww ganga na yako over.
 
Inategemea mliachana vipi. Kama mliachana kistaarabu bado mtaendelea kuwa marafiki na mtakuwa mnaweza kupasha viporo pale mke anapogoma kutoa mdinyo unapata pa kupoozea.
Kupasha kiporo ndio nini huo ni ugonjwa wa akili
 
Hahaaaa itakuwa kila ukimuona basi akili inawaza namna ya kuichakata mbususu yake tu hasa sie wanaume hatunaga mda wa urafiki na ma x
 
Sawa sawa na kumuwekea pelemende( PIPI) mtoto wa miaka mitano mfukoni na kumwambia asiile kwa masaa Saba
( MASHMALLOW EXPERIMENT )
 
Hamku pendana ile real mi sitaki hata kumuona nimemblock nangojea kodi imalizike nihame nikaishi mbali maana tunakaa mtaa moja

Hakuna kitu kinauma kama icho rafiki wa tena kumbuka ibilisi alikuwa malaika kabla ya kufukuzwa peponi
 
Siyo sahihi...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mwanamke anaweza fanya hivyo makusidically kama ulikuwa ndezi lake

Lengo ni kuendelea kupata favors walau 50% ambazo alikuwa anapata akiwa kwenye mahusiano na wewe.

Hawa watu ni born to be narcissist ni wakuwa nao makini sana

CC tuishi nao kwa akili.
 
Back
Top Bottom