Russo mbata
Member
- Jul 30, 2015
- 6
- 4
Kupasha kiporo ndio nini huo ni ugonjwa wa akiliInategemea mliachana vipi. Kama mliachana kistaarabu bado mtaendelea kuwa marafiki na mtakuwa mnaweza kupasha viporo pale mke anapogoma kutoa mdinyo unapata pa kupoozea.