Je ni sahihi kumshika mabega mwanaume mwenzako?

Je ni sahihi kumshika mabega mwanaume mwenzako?

Hapo utakuwa unamuongelea mkuu alivyomshika mabega yule CEO wa BARRICK wakati wanaongelea mambo ya mchanga wa madini
 
jimmy-butler.jpg
 
Hata kumshika mabega mke wa ntu si maadili lakini mimi sijisikii amani bila kuwashika hao wake za watu. Naomba msamaha kwenu wenye wake zenu nilowashika mabegani. Jamani, si kila kitu usichofanya weye ni kibaya akifanya mwingine
 
KI Vipi, elezea vizuri umeshikwaje hayo mabega ili tukushauri vizuri. umepost alfajiri inaonekana umekereka sana na hiyo kitu.
 
Mi sioni ubayaaa ila inategemea umeshikwa mkiwa kwenye hali gani
 
Me sioni ubaya wowote kushikwa bega ubaya ni pale unaposhikwa kiuno na mwanaume mwenzako lazma maswali yawepo
 
Back
Top Bottom