Je, ni sahihi kumtongoza mmama mtu mzima au aliekuzidi rika kimuonekano?

Napenda kukumbusha Ndugu yangu mleta Uzi kuwa Tarehe 28/10/2020 ni siku Muhimu sana kwa Taifa letu la Tanzania, Kwa mara ya Kwanza kwenye Ulingo wa siasa, WaTz wote wenye Akili TIMAMU wataenda kumchagua kiongozi Mpenda

UHURU
HAKI
Na MAENDELEO YA WATU

Kuhusu mada yako ntakuja kuitolea ufafanuzi wa kina baada ya Mh. Tundu Lissu kutangazwa kuwa Rais Mpya wa awamu ya 6 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!
 

I THINK YOU WANT TO TRY YOUR FORTUNE, TAKE CARE IF YOU WIN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…