Je, ni sahihi kumwambia mkeo kiasi cha mshahara wako?

Je, ni sahihi kumwambia mkeo kiasi cha mshahara wako?

Mkuu, sahihi ni vile moyo na akili zako zinakuelekeza kutokana na maisha unayoishi na mke wako. Binafsi mume wangu kaniambia, na haijasababisha niache kutoa matumizi kwa maswala ambayo nina uwezo nayo.
Habari yako bibie,nitumie namba yako dm kuna documents za Wizara usaini
 
Ndivyo unavyotakiwa kufanya kwa Mke wako wa ndoa!
Na baada ya kumwonyesha unapaswa kupanga bajeti pamoja naye.
Ukifanya hivyo Mkeo atakuamini na atakuwa Mwangalifu katika matumizi ya fedha!
Mimi ndivyo navyofanya! Tunaenda benk ku draw pamoja na ndiye anayeshika mkoba na Mimi kadi.
Tuna amani sana na mke wangu! Ugomvi tunausikia kwa majira.
Chukua namba yake ya simu,fanya namna udukue chattings zake,utalia kama pongo
 
Chukua namba yake ya simu,fanya namna udukue chattings zake,utalia kama pongo
Mimi simu yangu nimempa uhuru wa kuikagua na Mimi amenipa uhuru wa kuikagua simu yake!
Sina shaka naye wala hana shaka na mimi.
 
Haya mambo mlipaswa kufunzwa jandoni, Ona sasa huyu hajui moja wala mbili na kashaoa.

Unahisi kuna kutoboa na ndoa yake kweli?
 
Back
Top Bottom