Nelly Willy
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 458
- 965
Habari yako bibie,nitumie namba yako dm kuna documents za Wizara usainiMkuu, sahihi ni vile moyo na akili zako zinakuelekeza kutokana na maisha unayoishi na mke wako. Binafsi mume wangu kaniambia, na haijasababisha niache kutoa matumizi kwa maswala ambayo nina uwezo nayo.
Chukua namba yake ya simu,fanya namna udukue chattings zake,utalia kama pongoNdivyo unavyotakiwa kufanya kwa Mke wako wa ndoa!
Na baada ya kumwonyesha unapaswa kupanga bajeti pamoja naye.
Ukifanya hivyo Mkeo atakuamini na atakuwa Mwangalifu katika matumizi ya fedha!
Mimi ndivyo navyofanya! Tunaenda benk ku draw pamoja na ndiye anayeshika mkoba na Mimi kadi.
Tuna amani sana na mke wangu! Ugomvi tunausikia kwa majira.
Chukua namba yake ya simu,fanya namna udukue chattings zake,utalia kama pongo
Mimi simu yangu nimempa uhuru wa kuikagua na Mimi amenipa uhuru wa kuikagua simu yake!Chukua namba yake ya simu,fanya namna udukue chattings zake,utalia kama pongo
Basi amani iwe nanyiMimi simu yangu nimempa uhuru wa kuikagua na Mimi amenipa uhuru wa kuikagua simu yake!
Sina shaka naye wala hana shaka na mimi.