Grim Langdon
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 780
- 2,296
😃Mi kipindi nipo secondary nilitamani nioe kabinti kaki Brazil 😂Duh, kweli kila mtu na mawazo yake. Nataka nipate kabinti ka Kikorea
Wengine wanashaur nioe binam.Wewe ulisikia waaapi!!! Eti Mkuu? Sio sahihi usije ukathubutu,oa wa kabila lako ikiwezekana oa dada yako kabisa.
Kwanini hapendi?Usije ukathubutu kuoa kabila lingine kwanza Mungu hapend, unataka uoe kabila la watu wngine ili ugundue nin? Komaa na kabila lako.