Je ni sahihi kuvuta sigara ndani ya daladala hata Kama umepata Arosto?

Je ni sahihi kuvuta sigara ndani ya daladala hata Kama umepata Arosto?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Ni vizuri watu wakajifunza kuwa waungwana

Ni Jambo Ambalo halifai Mtu kuvuta sigara ndani ya gari Jambo hili limetokea katika daladala hapa nikielekea mitaa ya visiwani maana sisi wengine hatupatani na Moshi mchafu wa sigara this is unacceptable
 
Sio sahihi kabisa Mkuu Wangu
Ukitaka kula Chiga
Nenda kalie pembeni
Ukikutana na wababe watakuzingua
 
IMG-20230207-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom