DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 May 10, 2023 #1 Ni vizuri watu wakajifunza kuwa waungwana Ni Jambo Ambalo halifai Mtu kuvuta sigara ndani ya gari Jambo hili limetokea katika daladala hapa nikielekea mitaa ya visiwani maana sisi wengine hatupatani na Moshi mchafu wa sigara this is unacceptable
Ni vizuri watu wakajifunza kuwa waungwana Ni Jambo Ambalo halifai Mtu kuvuta sigara ndani ya gari Jambo hili limetokea katika daladala hapa nikielekea mitaa ya visiwani maana sisi wengine hatupatani na Moshi mchafu wa sigara this is unacceptable
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 May 10, 2023 #2 NEMC walikataza.
Smart Gang JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 2,013 Reaction score 3,406 May 10, 2023 #3 Sio sahihi kabisa Mkuu Wangu Ukitaka kula Chiga Nenda kalie pembeni Ukikutana na wababe watakuzingua
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 19,644 Reaction score 40,546 May 10, 2023 #4 DR bado unapandaga daladala...!!!
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 May 10, 2023 #5 Bora hiyo kuna wamasai walifungua vibuyu kwenye daladala.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 May 10, 2023 #6 Ungemkata KIBAO aka KERBU.