Je, ni sahihi kuwa na Mahusiano (Kuoa /Kuolewa ) na Mtu anayefanana jina na wazazi wako?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wala GENTAMYCINE nisizunguke sana katika hili Mimi siwezi abadan ila Majina ya Wazazi wangu nitayatumia tu kwa kuwapa Wanangu ( Watoto Wangu ) ila siyo Vinginevyo.

Haya tayari nimeshachokoza Mada ( Uzi ) hivyo Karibuni Great Thinkers wa JamiiForums muweze Kutiririka na Kuserereka katika hili lililoko mezani.
 
ni nzuri mno hii maana kama ni mkeo basi unaanza kumwita mama tu na kama ni mmeo unamwita baba
 
sidhani kama kuna shida yoyote ile, labda ungetuambia wewe kwanini huwezi
 
Back
Top Bottom