Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wazazi wako wanakujua in and out ,siyo mbaya kama ukiwaambia...Hata mkeo ni muhimu kujua unaingiza kiasi gani maana wanaweza kukupa ushauri jinsi ya kufanya kulingana na kipato chako.Wakuu, nimepata kazi! 🎉
Lakini baada ya furaha yote, swali moja limeanza kuzunguka kichwani mwangu… Hofu imenijia, endapo ni sahihi kuwaeleza wazazi wangu kiasi cha mshahara nachopokea? Ni sahihi kuwajulisha unalipwa kiasi gani?
Najaribu kufikiria kuhusu uwazi kwa wazazi wangu pindi ambapo nawafikishia habari hii njema. Lakini pia nitambua suala la mipaka.
Vipi, unaweza kuwaambia wazazi wako mshahara wako, au uta-mute? 🤔
MuteWakuu, nimepata kazi! 🎉
Lakini baada ya furaha yote, dada yangu ameniambia kuwa ni lazima niwaambie wazazi wetu kiasi cha mshahara wangu ninachopokea. Akaniambia, “La sivyo, itaonekana unawadharau.”
Hapo ndipo swali moja lilipoanza kuzunguka kichwani mwangu… Hofu imenijia: je, ni sahihi kuwaeleza wazazi wangu kiasi cha mshahara wangu? Je, ni sahihi kuwajulisha ni kiasi gani ninacholipwa?
Najaribu kufikiria kuhusu uwazi kwa wazazi wangu pindi ambapo nawafikishia habari hii njema. Lakini pia natambua suala la mipaka.
Vipi, unaweza kuwaambia wazazi wako mshahara wako, au uta-mute? 🤔
😂😂🤣 Jamaa bhanamkeo ni muhimu kujua unaingiza kiasi gani maana wanaweza kukupa ushauri jinsi ya kufanya kulingana na kipato chako.
Ukiona hivyo jua tegemezi ni wengi mno🤣🤣🤣Tulikua tunazungumza nini na familia jamani, mpaka tuanze kuongea Salary yangu 🤣🤣 ma UPM wa familia mnasafari
Apunguze laki mbili wakati mhindi anamlipa laki mbili na nusu kwa mwezi?Wambie ila punguza hata laki 2.
Umejuaje kwa muhindiApunguze laki mbili wakati mhindi anamlipa laki mbili na nusu kwa mwezi?
Mara nyingi inakuaga hivo. KabisaUkiona hivyo jua tegemezi ni wengi mno