Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
Je, ni sahihi kuwasiliana na ex wako au kuwa na namba yake kama upo kwenye ndoa Au mahusiano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemeana na nini ?Inategemea na hao ex's wenyewe. Hakuna zuio
Msaada alionao huyo Ex ambao hauhusiani na mzagamuoInategemeana na nini ?
Ni marufuku kujua hata unapoishi au unapofanya kazi in short hatakiwi kujua chochote kuhusu weweJe, ni sahihi kuwasiliana na ex wako au kuwa na namba yake kama upo kwenye ndoa Au mahusiano?
Sasa ex wa huyu mwanaume anakua ni mwanaume mwenzie au mwanamke?Mwanaume ni sawa kabisa kuwasilana na ex
Ila ni marufuku mwanamke kuwasiliana na ex wake.
Yupi sasa? Yule bosi au mdogo wake au yule mwingine? Au yule jamaa muhuniJe, ni sahihi kuwasiliana na ex wako au kuwa na namba yake kama upo kwenye ndoa Au mahusiano?