Je, ni Sahihi kuwasiliana na ex wako?

Je, ni Sahihi kuwasiliana na ex wako?

Sasa ex wa huyu mwanaume anakua ni mwanaume mwenzie au mwanamke?
Namaanisha for strong men only. Wazembe ndio hao ambao wana maex wetu tunaowasiliana nao. Wewe ukiwa strong demu wako ni marufuku kuwasiliana na ex. Ukiwa lonya shauri zako
 
Je, ni sahihi kuwasiliana na ex wako au kuwa na namba yake kama upo kwenye ndoa Au mahusiano?
Inategemeana, wakati mwingine unakuwa nayo kwa sababu hamjaachana kiugomvi, demu ama mshikaji anabaki kuwa mshauri wa maisha yako na kama mkeo anazingua basi unarudia kiporo ili maisha yaendelee.
 
Inategemeana
Labda Kuna mtoto
Mnafanya kazi ofisi moja au taasisi fulani ambapo lazima muwasiliane ili kazi ziende.
Mlikuwa na biashara ya pamoja, baada ya kuachana biashara bado inaendelea.
Nje ya hapo ni kukosa heshima kwa mwenza wako mpya.
 
Inategemeana, wakati mwingine unakuwa nayo kwa sababu hamjaachana kiugomvi, demu ama mshikaji anabaki kuwa mshauri wa maisha yako na kama mkeo anazingua basi unarudia kiporo ili maisha yaendelee.
Hahahahaha mi ex nawasiliana nae mara moja moja, kila mtu ana familia yake kwa sasa. Kujuliana hali sio tatizo
 
Nikajifanya mwelewa hata baada ya kuachana tukawa tunawasiliana. Siku hiyo kanicheki ana shida na 100K nimkopeshe anataka anunue dawa apulizie matikiti yake mumewe kamuibia.

Nikampa 80K. Hiyo ilikua 2016.

Mpaka leo sijarudishiwa.
 
Nina wasiliana nao wote kasoro mmoja tu huyu tuliachana vibaya sana, mimi hua nawaambia watu nipo kwenye mahusiano ukifall at your own risk, mtu anajileta mzima mzima lazima angukie pua tu.
 
Kwa mwanaume ni sawa, ila kwa mwanamke ni hatari. Femists wataanza oohh kwanini na equality zao, ila habari ndio hiyo.

Mimi sijawahi kuachana na ex kwa ugomvi na msururu wote wa maex nawasiliana nao na nikitaka kujipashia viporo vyangu huwa vipo on.
 
Unatakiwa kufunga ukurasa, period. Kwani unakua umesahau nini ambacho hutapata mbele ya safari? Huwezi kugrow kwa kutazama ulipotoka na utajikuta unalinda tu
 
Back
Top Bottom