Namaanisha for strong men only. Wazembe ndio hao ambao wana maex wetu tunaowasiliana nao. Wewe ukiwa strong demu wako ni marufuku kuwasiliana na ex. Ukiwa lonya shauri zakoSasa ex wa huyu mwanaume anakua ni mwanaume mwenzie au mwanamke?
Inategemeana, wakati mwingine unakuwa nayo kwa sababu hamjaachana kiugomvi, demu ama mshikaji anabaki kuwa mshauri wa maisha yako na kama mkeo anazingua basi unarudia kiporo ili maisha yaendelee.Je, ni sahihi kuwasiliana na ex wako au kuwa na namba yake kama upo kwenye ndoa Au mahusiano?
Hahahahaha mi ex nawasiliana nae mara moja moja, kila mtu ana familia yake kwa sasa. Kujuliana hali sio tatizoInategemeana, wakati mwingine unakuwa nayo kwa sababu hamjaachana kiugomvi, demu ama mshikaji anabaki kuwa mshauri wa maisha yako na kama mkeo anazingua basi unarudia kiporo ili maisha yaendelee.
Extrovert wacha kutupiga fix bwana, huyo ex wako akikuomba umpe show utamkatalia au utamuomba ruhusa mkeo wa sasa?Hahahahaha mi ex nawasiliana nae mara moja moja, kila mtu ana familia yake kwa sasa. Kujuliana hali sio tatizo
😳😳Yupi sasa? Yule bosi au mdogo wake au yule mwingine? Au yule jamaa muhuni
Point...afu ni ushambaHapana, hamna sababu yoyote. Hata kama mliachana vizuri