Je, ni sahihi kwa baba wa kambo na baba mzazi (biological father) kwa pamoja kuhudhuria katika sherehe ya harusi ya binti yao? Ni busara ipi itumike?

Sawa mkuu. Ukifika muda wa bibi harusi kutambulisha wazazi wake atamtambulisha nani kama baba?
anatakiwa amtambulishe Baba aliyemlea, kwani ndiye kaiandaa harusi na ndio kamlea au kumsomesha
Huyo Baba wa ki Biological kwanini alimkataa mapaka mama akaenda olewa kwingine
Mfano huyo Msigwa alimkataa mtoto wa Mama wa kikurya huenda kwa matusi na mateke na hata km alitoa ada ya Primary school lkn mwenzake Chacha alihakikisha maisha ya Binti wa kufikia ni salama.
Unajua miaka ya chovyachovya ilikuwa na changamoto nyingi kwa sasa tuache maana una DNA mipira nk
juzi kuna uzi humu kijana anamtafuta Baba mzazi, sasa huenda alimkataa kwa fujo au alibambikwa, hivyo kumbebesha mimba mwenzako halafu ukatae kiumbe tuwakatalie mapema kuliko kuwaleta Duniani kupata mateso
 
Alikuwa analipa pesa kwa mama mtoto bila baba mlezi kujua...
Nimekusoma. Kuna sehemu watu wanakosea sana, huyu mama alitakiwa ashtakiwe hawezi kubadili jina la mtoto hata kama alikuwa hatunzi maana yule mtoto ni ukoo mwingine, labda kama angekuwa amezaa na mkurya mwenzie halafu akaja akaolewa na mkurya hapo hakuna tatizo maana Mila zao moja. Hapo ndio binti amefariki lakini kama ingekuwa ni harusi pangechimbika lazima Baba mzazi angekuwa ndio mwenye shughuli na huyu mwingine angekuwa msindikizaji japo Kwa wakurya najua mtu angekatwa mkono na talaka juu lakini ukweli ungebaki kuwa kweli.
 
Sawa mkuu. Ukifika muda wa bibi harusi kutambulisha wazazi wake atamtambulisha nani kama baba?
Mama mzazi, Baba mzazi na mama wa kufikia huwa wanakaa meza moja na Baba wa kufikia yeye huwa anakaa mbali (anajichanganya anakuwa kama mgeni mualikwa) au Haji kabisa. Kwa harusi nyingi nilizo hudhuria utambulisho watasimama wazazi wa binti au kijana, Ila kama mtoto anajitambua na Baba au mama mlezi ndio aliyekuwa naye karibu lazima atamtambulisha tu.
 
Mkuu, ulikuwa unamaanisha kama baba mzazi na baba wa kambo wanashirikiana vizuri?
Ndio. Mfano mwanaume alizaa na mwanamke, baadae mwanamke akaolewa na mtu mwingine, na mtoto (watoto) wa mwanaume wa kwanza wako na mama yao (baba wa kambo), wote wanajuana, na kushiriki gharama za malezi, sidhani itakapotokea mtoto ana harusi kuna baba mmoja wapo atatengwa hapo.
 
Kwani wakishiriki wote kuna tatizo gani?
yaani akumbukie alivo kuwa ana bamba???? kuna watu wana hisia wewe usiombe!!!! akimuona tu anakojoa!! sasa utakojoa mara ngapi kwa harusi? cha msingi amroge tu asizae tena huko
 
Naomba urudie kuandika kwa ufasaha maana ukweli sijakuelewa, kuna sehemu unasema baba wa kambo alishakufa ila baba mzazi ndio yupo hapo nimeshidwa kuelewa samahani lakini
Naomba kuuliza wewe ni Msukure? Yaani umetoroka kambini siyo?
 
Ukiona Baba wa kufikia anapewa kipaumbele saana na Binti!! jua kabisaa kesha liwa kitambo huyo Mtoto!! ila mama mtu hajui!! huenda pia ana mimba ya huyo Baba wa kambo!! hasa Baba wakambo akiwa kijana jana hivi!! wanaliwaga sana hao!

na Mabinti wanafikaga bei wenyewe!! Baba ni baba tu kuna muunganiko wa damu!!
 
Mama mwenyewe ndio aamue, na akichaguliwa mzazi wa kambo ndio aende ila akawa hayupo comfortable ni sawa pia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…