Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
anatakiwa amtambulishe Baba aliyemlea, kwani ndiye kaiandaa harusi na ndio kamlea au kumsomeshaSawa mkuu. Ukifika muda wa bibi harusi kutambulisha wazazi wake atamtambulisha nani kama baba?
Huyo Baba wa ki Biological kwanini alimkataa mapaka mama akaenda olewa kwingine
Mfano huyo Msigwa alimkataa mtoto wa Mama wa kikurya huenda kwa matusi na mateke na hata km alitoa ada ya Primary school lkn mwenzake Chacha alihakikisha maisha ya Binti wa kufikia ni salama.
Unajua miaka ya chovyachovya ilikuwa na changamoto nyingi kwa sasa tuache maana una DNA mipira nk
juzi kuna uzi humu kijana anamtafuta Baba mzazi, sasa huenda alimkataa kwa fujo au alibambikwa, hivyo kumbebesha mimba mwenzako halafu ukatae kiumbe tuwakatalie mapema kuliko kuwaleta Duniani kupata mateso