Je ni sahihi kwa mdhamini na mwendeshaji wa klabu moja kudhamini vilabu vingine?

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
10,644
Reaction score
32,375
Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko
Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze Michuano Ya Shirikisho Basi Siyo Hii Ligi Ambayo Mwenzio Tayari Ana Point 36 Kibindoni😔
IMG-20240816-WA0408.jpg
 
kwahiyo na hizo za kimataifa mwaka juzi mpk tukaingia federation fainali tulihonga..?
nyie mmeshakuwa mazwazwa hambadiliki kila siku mnawaza fitina by the way GSM anahaki wa kujitangaza virabu vyengine pia maana yeye si mdhamini mkuu yanga!,mbona bakhresa anamwagaga mihela kwenye vilabu na hamsemi.. kubwabwaja tu kushinda mechi zenu aaaaahh!
 
Mbona Azam anadhamini team zote na hamsemi , Kuna tofauti ya kudhamini na kumiliki
 
Hizi ni dalili za kuhalalisha kufanya vibaya! Kimsingi Simba wameshajiona hawana chao wanatengeneza justifications.
Match fixing haiwezi kuwa rahisi hivyo! Kuna makampuni ya kamali yote yanategemea fairness ya mchezo! GSM itafirisiwa overnight!

Jengeni timu, acheni mpechempeche!
 
Kitu ambacho nahisi hukijui mleta mada ni kwamba ukitoa Simba,yanga na azam hakuna Team nyingine ambayo inaweza ikajiendesha kwa mapato yake, GSM amekuja ameweka pesa team zimetoka kule kwenye kulilia mishahara,posho na kusafiri,au mleta mada unataka turudi zile zama za kusikia kuwa team flani imeshikiliwa hotel flani kwa kushindwa kulipa hela inazodaiwa?
Binafsi me nashindwa kukuelewa,au Kuna kampuni ilishawahi kwenda kwenye hizo team ikaambiwa nafasi ya uzami haipo Tena kwasababu tunazaminiwa na GSM?

Hata Mo akiamua kwenda kutafta mileage kwa team nyingine anaruhusiwa,au ilishawahi kusikia Mo na kina bakheresa wamekatazwa kutafta team nyingine kwaajiri ya mileage ya biashara zao?

Nimalize kwa kusema kwamba team inabidi itengeneze team iachane na maswala ambayo hayana maana,kama Simba ndo ingekuwa kwenye situation ya yanga I don't think kama maneno kama haya yangekuwepo
 
kwahiyo na hizo za kimataifa mwaka juzi mpk tukaingia federation fainali tulihonga..?
nyie mmeshakuwa mazwazwa hambadiliki kila siku mnawaza fitina by the way GSM anahaki wa kujitangaza virabu vyengine pia maana yeye si mdhamini mkuu yanga!,mbona bakhresa anamwagaga mihela kwenye vilabu na hamsemi.. kubwabwaja tu kushinda mechi zenu aaaaahh!
Hao Makolo FC wajinga sana.
 
Ukija na mada ya udhamini wa ligi, vyura wanamruka GSM kama mke aliyefumaniwa na mchepuko. Utaskia, "siyo mdhamini wetu mkuu, siyo mmiliki wetu wala siyo mfadhili wetu". Sasa ni nani huyu bwana? Tumekukuta naye kitandani, ni nani huyo bwana? Mbona yeye ndiyo mnamuimba kila siku? Mnatuchanganya mjue.
 
Kitu ambacho nahisi hukijui mleta mada ni kwamba ukitoa Simba,yanga na azam hakuna Team nyingine ambayo inaweza ikajiendesha kwa mapato yake, GSM amekuja ameweka pesa team zimetoka kule kwenye kulilia mishahara,posho na kusafiri,au mleta mada unataka turudi zile zama za kusikia kuwa team flani imeshikiliwa hotel flani kwa kushindwa kulipa hela inazodaiwa?
Binafsi me nashindwa kukuelewa,au Kuna kampuni ilishawahi kwenda kwenye hizo team ikaambiwa nafasi ya uzami haipo Tena kwasababu tunazaminiwa na GSM?

Hata Mo akiamua kwenda kutafta mileage kwa team nyingine anaruhusiwa,au ilishawahi kusikia Mo na kina bakheresa wamekatazwa kutafta team nyingine kwaajiri ya mileage ya biashara zao?

Nimalize kwa kusema kwamba team inabidi itengeneze team iachane na maswala ambayo hayana maana,kama Simba ndo ingekuwa kwenye situation ya yanga I don't think kama maneno kama haya yangekuwepo
Hoja mfu kabisa hizi
 
Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko
Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze Michuano Ya Shirikisho Basi Siyo Hii Ligi Ambayo Mwenzio Tayari Ana Point 36 Kibindoni😔
Picha linaanza Harmonize anaenda kwenye Pamba Day anawaimbia wimbo ule ule aliowatungia Yanga anabadili tu majina ya wachezaji. Halafu wanakuuliza, we huogopi?
 
Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko
Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze Michuano Ya Shirikisho Basi Siyo Hii Ligi Ambayo Mwenzio Tayari Ana Point 36 Kibindoni😔
Acheni kutafuta visingizio.

Mbona SportPesa anadhamini vilabu vingi na Mkuregenzi wake ni mmoja wa bodi ya wadhamaini wa Yanga, na hamlalamiki?

Mbona Azam TV inazidhamini Yanga, Simba na Azam ambapo Azam TV na Azam zinamilikiwa na mtu yule yule.

Mbona Ihefu ilikuwa inadhaminiwa na GSM na bado iliifunga Yanga mara mbili

Je mnataka kusema kuwa kwa JKT Tanzania na Mashujaa zinamilikiwa na jeshi pia kuna tatizo?
 
Pale utetezi wa mtuhumiwa unapomtia hatiani yeye mwenyewe.

Anyway, kuhusu JKT Tanzania na Mashujaa hazimilikiwi wala kuendeshwa na mtu au taasisi moja.

Kuhusu Ihefu, ni kama mwizi ajitetee hajaiba kwa sababu hakukamatwa.

Kuhusu SportPesa, unasema mbona hatulalamiki? Hiyo ilikuwa ni moja ya sababu ya Simba kuachana na SportPesa na kutafuta mdhamini mwingine baada ya kuona dalili za conflict of interest (ndiyo maana SportPesa walitaka kuipa Simba na Yanga pesa sawa wakati thamani ya vilabu vile wakati ule ilikuwa hailingani).

Ngoja niishie hapo maana hii mada nimeshaichangia sana nikiwa natoa hoja zangu huwa watu wanakimbia.
 
GSM siyo mmiliki wa Yanga.
Yeye pale yupo kama mfanyabiashara.
Anatangaza biashara zake sio kwenye teams nyingine, hatumii teams tu Bali kwenye radios, TV, magazeti n.k
 
Pale utetezi wa mtuhumiwa unapomtia hatiani yeye mwenyewe.

Anyway, kuhusu JKT Tanzania na Mashujaa hazimilikiwi wala kuendeshwa na mtu au taasisi moja.

Kuhusu Ihefu, ni kama mwizi ajitetee hajaiba kwa sababu hakukamatwa.

Kuhusu SportPesa, unasema mbona hatulalamiki? Hiyo ilikuwa ni moja ya sababu ya Simba kuachana na SportPesa na kutafuta mdhamini mwingine baada ya kuona dalili za conflict of interest (ndiyo maana SportPesa walitaka kuipa Simba na Yanga pesa sawa wakati thamani ya vilabu vile wakati ule ilikuwa hailingani).

Ngoja niishie hapo maana hii mada nimeshaichangia sana nikiwa natoa hoja zangu huwa watu wanakimbia.
Simba iliachana na Sportpes kwa sababu dau la m-bet lilikuwa kubwa. Kabla ya hapo walikuwa chini ya udhamini wa sportpesa kwa miaka mingi sana na muda huo wote Simba ilikuwa bingwa
 
Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko
Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze Michuano Ya Shirikisho Basi Siyo Hii Ligi Ambayo Mwenzio Tayari Ana Point 36 Kibindoni😔
Mbona Azam anafadhili timu zote kupitia bil 225,alizo ingia mkataba na TFF.Kila timu inapewa hela za kujikimu na Azam mbona hamuongei.

Haya msimu huu napo Azam kaingia mkataba na Namungo kama mdhamini wao mkuu,hapa napo?
Screenshot_20240816_142303_Instagram.jpg
Screenshot_20240816_142322_Instagram.jpg
 
Ni swala la kawaida kwenye mpira wa miguu mdhamini mmoja kudhamini timu zaidi ya moja. Mfani kule Uingereza Adidas ana dhamini Man united, Arsenal na Fulham.

Back
Top Bottom