ngulukizi
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 619
- 1,749
Kwa Tanzania nchi inayoendeshwa rushwa hili litaleta mkanganyiko baadae ni vile tunaendekeza Ushabiki tu Ila tukiangalia kiundani kuna kitu kinaendelea sababu GSM ndio mlipa mshahara wa Yanga hivyo kudhamini timu nyingine lazima kuna namna ila Acha tuone huko mbeleni