Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Hao Makolo FC wajinga sana.kwahiyo na hizo za kimataifa mwaka juzi mpk tukaingia federation fainali tulihonga..?
nyie mmeshakuwa mazwazwa hambadiliki kila siku mnawaza fitina by the way GSM anahaki wa kujitangaza virabu vyengine pia maana yeye si mdhamini mkuu yanga!,mbona bakhresa anamwagaga mihela kwenye vilabu na hamsemi.. kubwabwaja tu kushinda mechi zenu aaaaahh!
Swali zuri sanaKama ni timu tano basi zimebaki timu nyingine na sisi tuzitafute timu saba tutakuwa na uhakika wa point 42?
Hoja mfu kabisa hiziKitu ambacho nahisi hukijui mleta mada ni kwamba ukitoa Simba,yanga na azam hakuna Team nyingine ambayo inaweza ikajiendesha kwa mapato yake, GSM amekuja ameweka pesa team zimetoka kule kwenye kulilia mishahara,posho na kusafiri,au mleta mada unataka turudi zile zama za kusikia kuwa team flani imeshikiliwa hotel flani kwa kushindwa kulipa hela inazodaiwa?
Binafsi me nashindwa kukuelewa,au Kuna kampuni ilishawahi kwenda kwenye hizo team ikaambiwa nafasi ya uzami haipo Tena kwasababu tunazaminiwa na GSM?
Hata Mo akiamua kwenda kutafta mileage kwa team nyingine anaruhusiwa,au ilishawahi kusikia Mo na kina bakheresa wamekatazwa kutafta team nyingine kwaajiri ya mileage ya biashara zao?
Nimalize kwa kusema kwamba team inabidi itengeneze team iachane na maswala ambayo hayana maana,kama Simba ndo ingekuwa kwenye situation ya yanga I don't think kama maneno kama haya yangekuwepo
Picha linaanza Harmonize anaenda kwenye Pamba Day anawaimbia wimbo ule ule aliowatungia Yanga anabadili tu majina ya wachezaji. Halafu wanakuuliza, we huogopi?Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko
Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze Michuano Ya Shirikisho Basi Siyo Hii Ligi Ambayo Mwenzio Tayari Ana Point 36 Kibindoniš”
Acheni kutafuta visingizio.Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko
Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze Michuano Ya Shirikisho Basi Siyo Hii Ligi Ambayo Mwenzio Tayari Ana Point 36 Kibindoniš”
Pale utetezi wa mtuhumiwa unapomtia hatiani yeye mwenyewe.Acheni kutafuta visingizio.
Mbona SportPesa anadhamini vilabu vingi na Mkuregenzi wake ni mmoja wa bodi ya wadhamaini wa Yanga, na hamlalamiki?
Mbona Azam TV inazidhamini Yanga, Simba na Azam ambapo Azam TV na Azam zinamilikiwa na mtu yule yule.
Mbona Ihefu ilikuwa inadhaminiwa na GSM na bado iliifunga Yanga mara mbili
Je mnataka kusema kuwa kwa JKT Tanzania na Mashujaa zinamilikiwa na jeshi pia kuna tatizo?
GSM siyo mmiliki wa Yanga.Pale utetezi wa mtuhumiwa unapomtia hatiani yeye mwenyewe.
Anyway, kuhusu JKT Tanzania na Mashujaa hazimilikiwi wala kuendeshwa na mtu au taasisi moja.
Kuhusu Ihefu, ni kama mwizi ajitetee hajaiba kwa sababu hakukamatwa.
Kuhusu SportPesa, unasema mbona hatulalamiki? Hiyo ilikuwa ni moja ya sababu ya Simba kuachana na SportPesa na kutafuta mdhamini mwingine baada ya kuona dalili za conflict of interest (ndiyo maana SportPesa walitaka kuipa Simba na Yanga pesa sawa wakati thamani ya vilabu vile wakati ule ilikuwa hailingani).
Ngoja niishie hapo maana hii mada nimeshaichangia sana nikiwa natoa hoja zangu huwa watu wanakimbia.
Simba iliachana na Sportpes kwa sababu dau la m-bet lilikuwa kubwa. Kabla ya hapo walikuwa chini ya udhamini wa sportpesa kwa miaka mingi sana na muda huo wote Simba ilikuwa bingwaPale utetezi wa mtuhumiwa unapomtia hatiani yeye mwenyewe.
Anyway, kuhusu JKT Tanzania na Mashujaa hazimilikiwi wala kuendeshwa na mtu au taasisi moja.
Kuhusu Ihefu, ni kama mwizi ajitetee hajaiba kwa sababu hakukamatwa.
Kuhusu SportPesa, unasema mbona hatulalamiki? Hiyo ilikuwa ni moja ya sababu ya Simba kuachana na SportPesa na kutafuta mdhamini mwingine baada ya kuona dalili za conflict of interest (ndiyo maana SportPesa walitaka kuipa Simba na Yanga pesa sawa wakati thamani ya vilabu vile wakati ule ilikuwa hailingani).
Ngoja niishie hapo maana hii mada nimeshaichangia sana nikiwa natoa hoja zangu huwa watu wanakimbia.
Mbona Azam anafadhili timu zote kupitia bil 225,alizo ingia mkataba na TFF.Kila timu inapewa hela za kujikimu na Azam mbona hamuongei.Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko
Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze Michuano Ya Shirikisho Basi Siyo Hii Ligi Ambayo Mwenzio Tayari Ana Point 36 Kibindoniš”