Siwaelewi mnapomkana GSM halafu hapo hapo mnakuja na hoja za Azam TV/Azam FC. Ina maana mnaamini umiliki wa GSM katika Yanga unafanana na hiyo mifano yenu au ni vipi hasa mnatolea mifano hiyo?GSM siyo mmiliki wa Yanga.
Yeye pale yupo kama mfanyabiashara.
Anatangaza biashara zake sio kwenye teams nyingine, hatumii teams tu Bali kwenye radios, TV, magazeti n.k
Simba ilitafuta mdhamini mwingine baada ya SportPesa kuweka mezani mkataba mpya wa Simba ukifanana na wa Yanga. Of course ilikuwa lazima huyo mdhamini mpya atoe pesa zaidi, kwa nini uachane na mdhamini mmoja halafu uende kwa mpya kwa pesa hiyo hiyo au chini ya mwanzo?Simba iliachana na Sportpes kwa sababu dau la m-bet lilikuwa kubwa. Kabla ya hapo walikuwa chini ya udhamini wa sportpesa kwa miaka mingi sana na muda huo wote Simba ilikuwa bingwa
Kabiiiiiiiiiisa lo
Nimekwambia GSM si mmiliki wa Yanga.Siwaelewi mnapomkana GSM halafu hapo hapo mnakuja na hoja za Azam TV/Azam FC. Ina maana mnaamini umiliki wa GSM katika Yanga unafanana na hiyo mifano yenu au ni vipi hasa mnatolea mifano hiyo?
Pia kuwa mmiliki hakumaanini wewe siyo mfanyabiashara. Watu wanamiliki timu ili watengeneze pesa kupitia hizo timu.
Endeleni kuchanganyikiwa siku akili zikirudi itakua too lateUkija na mada ya udhamini wa ligi, vyura wanamruka GSM kama mke aliyefumaniwa na mchepuko. Utaskia, "siyo mdhamini wetu mkuu, siyo mmiliki wetu wala siyo mfadhili wetu". Sasa ni nani huyu bwana? Tumekukuta naye kitandani, ni nani huyo bwana? Mbona yeye ndiyo mnamuimba kila siku? Mnatuchanganya mjue.
Waache waendelee na ujinga sasa hivi washa pata visingizioMbona Azam anafadhili timu zote kupitia bil 225,alizo ingia mkataba na TFF.Kila timu inapewa hela za kujikimu na Azam mbona hamuongei.
Haya msimu huu napo Azam kaingia mkataba na Namungo kama mdhamini wao mkuu,hapa napo?
View attachment 3071817View attachment 3071816
Nani apange matokeo na yeye kwa kufanya vile anafaidika na nini.mpira ni biashara watu wanatangaza bidhaa zao bila hiyo watapataje faida?Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko
Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze Michuano Ya Shirikisho Basi Siyo Hii Ligi Ambayo Mwenzio Tayari Ana Point 36 Kibindoniš”
Kwani Azam FC ina milikiwa nani?Siwaelewi mnapomkana GSM halafu hapo hapo mnakuja na hoja za Azam TV/Azam FC. Ina maana mnaamini umiliki wa GSM katika Yanga unafanana na hiyo mifano yenu au ni vipi hasa mnatolea mifano hiyo?
Pia kuwa mmiliki hakumaanini wewe siyo mfanyabiashara. Watu wanamiliki timu ili watengeneze pesa kupitia hizo timu.
Msimu uliopita Simba ilichangia point 6 na goli 7 vipi nayo inadhaminiwa GSM??Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko
Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze Michuano Ya Shirikisho Basi Siyo Hii Ligi Ambayo Mwenzio Tayari Ana Point 36 Kibindoniš”
Nimekwambia GSM si mmiliki wa Yanga.
Yupo Yanga kudhamini Kwa mikataba.
Akienda team nyingine anadhamini ili atengeneze faida.
GSM hatoi msaada Yanga
GSM anafanya biashara na Yanga
Yaani Yanga ananufaika na GSM ananufaika
Kwani Azam FC ina milikiwa nani?
Ligi ya NBC nani anaidhamini?
Nani anatoa hela za kujikimu kwa timu zote?
Namungo FC inadhaminiwa na nani?
(HEBU WEWE TUPE TOFAUTI KUHUSIANA NA HAYO MASWALI MANNE,HALAFU TUAMBIE UTOFAUTI WAKE).
Halafu Yanga inamilikiwa na nani? Maana mchakato wa hisa Yanga bado...... kwani hiyo mpaka sasa timu ni ya wanachama au kuna sehemu ulisikia GSM anamiliki asilimia ngapi,Yanga?
Usitumie nguvu nyingiKwani Azam FC ina milikiwa nani?
Ligi ya NBC nani anaidhamini?
Nani anatoa hela za kujikimu kwa timu zote?
Namungo FC inadhaminiwa na nani?
(HEBU WEWE TUPE TOFAUTI KUHUSIANA NA HAYO MASWALI MANNE,HALAFU TUAMBIE UTOFAUTI WAKE).
Halafu Yanga inamilikiwa na nani? Maana mchakato wa hisa Yanga bado...... kwani hiyo mpaka sasa timu ni ya wanachama au kuna sehemu ulisikia GSM anamiliki asilimia ngapi,Yanga?
Niliye leta mimi au huyu mtoa mada? Nimekwambia nipe ww utofauti na sio kuruka ruka kama bisi.Sijasema ni mmiliki ila nyie ndiyo mnaleta mifano ya timu ambazo mnadai zina wamiliki ambao pia ni wadhamini wa timu nyingine, kwa maana hiyo mnataka kusema hiyo mifano inafanana na kile kilichopo Yanga? Hivi mnaona mnavyojichanganya? Mmefumaniwa mnamkana ila kutwa kumuimba yeye na siyo huyo mnayedai ndiye mdhamini mkuu. Janja janja na utapeli tu.
Hivi Hersi bado ni mkurugenzi wa uwekezaji pale GSM?
Haya umemruka mwenzio, turudi kwako. Unaposema kuwa katika hoja ya umiliki kilichopo Yanga hakina tofauti na kilichopo Azam ni kwamba unasema GSM ndiye mmiliki wa Yanga maana hoja mnayoleta hadi kuwataja Azam ni kuwa mmiliki wa Azam TV ndiye mmiliki wa Azam FC kwa hiyo mnahoji inakuwaje hilo wanafanya Azam lakini kwa GSM inakuwa nongwa.Niliye leta mimi au huyu mtoa mada? Nimekwambia nipe ww utofauti na sio kuruka ruka kama bisi.
Kwani kilichopo Yanga kina tofauti gani na Azam kwenye ligi na Namungo Fc?
Walimu wana kazi sana Okay haya..Haya umemruka mwenzio, turudi kwako. Unaposema kuwa katika hoja ya umiliki kilichopo Yanga hakina tofauti na kilichopo Azam ni kwamba unasema GSM ndiye mmiliki wa Yanga maana hoja mnayoleta hadi kuwataja Azam ni kuwa mmiliki wa Azam TV ndiye mmiliki wa Azam FC. Hivi uko sawa kweli leo au umepiga kilevi?
Ni kweli walimu wana kazi na mahakimu watakuwa wana kazi rahisi zaidi maana kama watuhumiwa wenyewe ndio kama nyie ni mwendo wa vifungo tu.Walimu wana kazi sana Okay haya..
Okay Azam FC inamilikiwa na nani na Azam TV ina milikiwa na nani? Yaani mpaka hili nalo unataka kubisha.......
Sasa ikiwa x=Azam TV,Y=Azam Media,Z=Bakheresa.Ni kweli walimu wana kazi na mahakimu watakuwa wana kazi rahisi zaidi maana kama watuhumiwa wenyewe ndio kama nyie ni mwendo wa vifungo tu.