TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
ππππHaujawazoea tu wasanii wa bongo kwa kujisifia
Utakuta Msanii nyimbo yake ya kwanza lakin umo ndan atajiita king, sijui uwezo huu hamfikii
Wakati shindano la kumtafuta malkia wa taarab miaka ile washiriki waliotoana jasho walikua Hadija Kopa na Nasma Kidogo (Marehemu) Bi Kidude alikua wapi?....
utakuwa ulezaliwa around 2000's ndio maana haujui hata historia ya music wa bongo .πππWakati shindano la kumtafuta malkia wa taarab miaka ile washiriki waliotoana jasho walikua Hadija Kopa na Nasma Kidogo (Marehemu) Bi Kidude alikua wapi?
I mean hata hatukujua kama anaexist lakini Mwana FA tulikua tunajua anaexist ndani ya EAC ikiongozwa na GK. Tulishasikiza ngoma zake kadhaa.
Pia usikasirike pengine anamaanisha gwiji wa hiphop.
Haujawazoea tu wasanii wa bongo kwa kujisifia
Utakuta Msanii nyimbo yake ya kwanza lakin umo ndan atajiita king, sijui uwezo huu hamfikii
Hahaha single ya kwanza ana haters πππSingle ya Kwanza na anasema ana 'haters'
Wanambania
utakuwa ulezaliwa around 2000's ndio maana haujui hata historia ya music wa bongo .πππ
Watoto wengi JfππTena labda kazaliwa 2005 aisee
Kaa kimya,wewe ulikuwa bado hujazaliwa,hii mada haikuhusu,waachi wakubwa.Wakati shindano la kumtafuta malkia wa taarab miaka ile washiriki waliotoana jasho walikua Hadija Kopa na Nasma Kidogo (Marehemu) Bi Kidude alikua wapi?
I mean hata hatukujua kama anaexist lakini Mwana FA tulikua tunajua anaexist ndani ya EAC ikiongozwa na GK. Tulishasikiza ngoma zake kadhaa.
Pia usikasirike pengine anamaanisha gwiji wa hiphop.
Mmempopoa kijana wa watu hadi kakimbia.Kaa kimya,wewe ulikuwa bado hujazaliwa,hii mada haikuhusu,waachi wakubwa.
Angekuwa yupo karibu inaonyesha ungemchapa kibao kwanza akili imkae sawa hao ndio watoto waliokosa malezi bora wakubwa wanaongea na yy anafungua bakuli lakeππKaa kimya,wewe ulikuwa bado hujazaliwa,hii mada haikuhusu,waachi wakubwa.
Kabisa.Angekuwa yupo karibu inaonyesha ungemchapa kibao kwanza akili imkae sawa hao ndio watoto waliokosa malezi bora wakubwa wanaongea na yy anafungua bakuli lakeππ
πππKabisa.
Inaonekana wewe bado mdogo sana kiumri huijui historia ya Bibi kidude kwenye mziki wa Tanzania, huyo mwana FA hata kwa Remmy ongala tu hafikiWakati shindano la kumtafuta malkia wa taar, ,ab miaka ile washiriki waliotoana jasho walikua Hadija Kopa na Nasma Kidogo (Marehemu) Bi Kidude alikua wapi?
I mean hata hatukujua kama anaexist lakini Mwana FA tulikua tunajua anaexist ndani ya EAC ikiongozwa na GK. Tulishasikiza ngoma zake kadhaa.
Pia usikasirike pengine anamaanisha gwiji wa hiphop.
Haujajibu swali unazunguka kwenye mifano tu.Duh yaani Bi kidude akashindane na kina Hadija kopa??
Na kama wewe hukuwahi kumsikia basi hakuwepo?....
Tafadhali usimtukane RemmyInaonekana wewe bado mdogo sana kiumri huijui historia ya Bibi kidude kwenye mziki wa Tanzania, huyo mwana FA hata kwa Remmy ongala tu hafiki