Je, ni sahihi kwa Mwana FA kujiita Gwiji wakati Fatuma Binti Baraka na fahari zake zote mpaka umauti unamfika hajawahi jiita gwiji?

Je, ni sahihi kwa Mwana FA kujiita Gwiji wakati Fatuma Binti Baraka na fahari zake zote mpaka umauti unamfika hajawahi jiita gwiji?

Kujiita jina kuna dhambi gani jameni.

Hivi hata kila Mtu akitaka kujiita Raisi si anajiita tu?...mwishi wa siku Wananchi ndio waamuzi wa mwisho, wakiridhika na umahiri wako basi watakupa jin linalokufaa kama kina "Golden Boy" Zamoyoni Mogela, "Jabali la Muziki" Marijani Rajabu n.k.
Watu wa zamani walikuwa hawajipi majina makubwa ila kutokana na umahiri wao watu ndio walikuwa wanawapa ma vyeo hayo🙄🙄🙄
 
wacha utani ni Sawa na Leo kumchukua Jide akashindane na kina Zuchu
Watoto wa siku hizi walivyokuwa hawana adabu hawashindwi kumshindanisha Zuchu na Jibe hapo ni sawa na kumshindanisha dada yako na bibi yako😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom