TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
- Thread starter
- #61
Watu wa zamani walikuwa hawajipi majina makubwa ila kutokana na umahiri wao watu ndio walikuwa wanawapa ma vyeo hayo🙄🙄🙄Kujiita jina kuna dhambi gani jameni.
Hivi hata kila Mtu akitaka kujiita Raisi si anajiita tu?...mwishi wa siku Wananchi ndio waamuzi wa mwisho, wakiridhika na umahiri wako basi watakupa jin linalokufaa kama kina "Golden Boy" Zamoyoni Mogela, "Jabali la Muziki" Marijani Rajabu n.k.