Around 2000s halafu nijie kua aliwahi kuwepo Nasma?utakuwa ulezaliwa around 2000's ndio maana haujui hata historia ya music wa bongo .๐๐๐
Habari wadau..!
Ebu leo tumjadili huyu mtu anayejiita Mwana FA hachana na Hamis Mwinjuma maana huyo nasikia siku hizi ni Mbunge huko jimbo la Muheza.
Je ni sahihi kwa wanamuziki wa kizazi hiki kipya kujivisha ma vyeo kama Gwiji,King n.k wakati hawajawai kuliletea taifa hata tuzo moja ya heshima kama ilivyo kwa Fatuma Binti Baraka (Bibi Kidude ) ambaye mpaka Wikipedia na mitandao mingine mikubwa duniani inamtambua kama Gwiji.
Bi Kidude mpaka umauti unamfika huyu ndio tunamtambua kama Gwiji la muziki ,alikuwa anaimba mpaka watu wanatoka uarabuni na ulaya kuja kumuangalia akiimba.
Sasa huu ugwiji wa mwana FA unatoka wapi??mwenye kujua hili swala atupe ufafanuzi.
Next time ukiandika uzi andika unataka wachangie wenye 35+ na nitaishia kusoma comments tu.Angekuwa yupo karibu inaonyesha ungemchapa kibao kwanza akili imkae sawa hao ndio watoto waliokosa malezi bora wakubwa wanaongea na yy anafungua bakuli lake๐๐
Haujajibu swali unazunguka kwenye mifano tu.
Bi Kidude ameimba sana kwenye Sauti Za Busara. Sauti za Busara imekuja baadaye mno baada ya lile shindano la wakina marehemu Nasma, kabla ya Sauti za Busara sikuwahi kumuona akiimba.
Ilikua ni kuona picha na kusikia sifa zake.
Now aliweza panda Sauti za Busara huku umri ukiwa umeenda yet alishindwa kupanda jukwaani miaka 5+ nyuma?
Ndiyo logic yako hiyo
Nasma Kidogo si msanii wa juzi tu ,nenda kam google Bi Kidude wikipedia utapata taarifa zake dogo.๐๐๐Around 2000s halafu nijie kua aliwahi kuwepo Nasma?
Haya tufanye kweli nimezaliwa around 2000s kama unavyodai lakini kwa kila wimbo nilionao wa Bi Kidude nadiriki kusema alikua mtunzi mzuri kuliko performer mzuri.
Ndiyo maana hakuna aliyewahi kuhisi anastahili ugwiji.
๐๐๐๐๐Next time ukiandika uzi andika unataka wachangie wenye 35+ na nitaishia kusoma comments tu.
Nawaacha wakubwa mjadili.
Haujajibu swali unazunguka kwenye mifano tu.
Bi Kidude ameimba sana kwenye Sauti Za Busara. Sauti za Busara imekuja baadaye mno baada ya lile shindano la wakina marehemu Nasma, kabla ya Sauti za Busara sikuwahi kumuona akiimba.
Ilikua ni kuona picha na kusikia sifa zake.
Now aliweza panda Sauti za Busara huku umri ukiwa umeenda yet alishindwa kupanda jukwaani miaka 5+ nyuma?
Ndiyo logic yako hiyo?
Inaonyesha ameanza kumsikia Kidude ktk Sauti za Busara.Unazidi kujivua nguo
Bibi kidude anajulikana ndani na nje ya nchi
Kabla Sauti za Busara haipo na wala haijulikan
Kama itakuwepo..
Wewe kama umemsikia Bi Kidude kupitia Sauti za Busara hufai kuchangia lolote kuhusu
Bi Kidude..
Chairman Mao alisema No research no right to speak...
Watu wanataja Taarab we unakuja kukurupuka na Khadija kopa na Nasma ..
Yaani unaonyesha ulivyo so ignorant na Taarab Ila unafanya ubishi..
Kwa taarifa yako wakati Khadija kopa na Nasma wanashindanishwa ilikuwa sio Taarab
Hapo walikuwa washaanzisha Rusha roho inaitwa ..branch ingine ya Taarab..
Hebu uliza Bi Kidude wakati anaimba Rais ni Nyerere aliimba kikundi gani?
Hebu uliza history ya Kikundi kinaitwa Curtural Music Taarab na nchi ngapi wameenda duniani na ilikuwa lini..
Sikutaka kabisa kuchangia, lakini maandishi yako yamenilazimu.Haujajibu swali unazunguka kwenye mifano tu.
Bi Kidude ameimba sana kwenye Sauti Za Busara. Sauti za Busara imekuja baadaye mno baada ya lile shindano la wakina marehemu Nasma, kabla ya Sauti za Busara sikuwahi kumuona akiimba.
Ilikua ni kuona picha na kusikia sifa zake.
Now aliweza panda Sauti za Busara huku umri ukiwa umeenda yet alishindwa kupanda jukwaani miaka 5+ nyuma?
Ndiyo logic yako hiyo?
Nina collection ya nyimbo nyingi kuanzia za zamani na za sasa.Sikutaka kabisa kuchangia, lakini maandishi yako yamenilazimu.
Unaonekana ni mdogo kwa umri na tasnia ya muziki huijui zaidi ya Bongo Fleva.
Kuna wanamuziki waliopita nchi hii walioimba katika kiwango ambacho wa sasa hawajafikia.
Kuanzia tunzi nzuri na uimbaji mzuri. Mifano ya wanamuziki uliopewa kama Marijani Rajab, Mbaraka Mwinshehe, Bi kidude na wengine wengi.
Bi Kidude ameanza muziki zamani sana, lakini wewe umemjua kupitia Tamasha la Sauti za Busara.
Ili ujue wanachomaanisha wenzio ni vizuri utafute Nyimbo walizoimba hao wanamuziki waliokutajia. Utajua wanachomaanisha.
Wenzio wana ziada kuliko wewe. Wamemsikiliza huyo Mwana FA na wanamuziki wa zamani.
Nawe wasikilize wanamuziki wa zamani kisha utaona ni kweli hilo jina la Gwiji linamfiti?
Kwa maoni yangu wanamuziki wa sasa wanamapungufu mengi sana
Upo vizuri.Nina collection ya nyimbo nyingi kuanzia za zamani na za sasa.
Zilipendwa mpaka za sasa.
Taarab tamaduni na za sasa.
Mchiriku mpaka mnanda.
Nyimbo za makabila n.k.
Wasanii mnaowataja wote nimewasikiliza.
Kazi ya kuwaingizia watu miziki kwenye CD (enzi hizo hakuna flash wala memory kama kipindi hichi) kutengeneza mega kumenifosi kusikiliza wasanii wengi.
Bi Kidude ni wa zamani huu ni ukweli. Lakini ni ukweli pia kwamba alikuja na kua kimya. Akaanza tena kuperform baada ya sauti za busara kuanza..
Kama ugwiji ni kua wa zamani wakina Juma Balo et el wanastahili pia. Bahati mbaya sina wimbo wa Bi Kidude akiwa msichana share hapa kama unao
Vijana wa kileo hawa,hawakawii kuvimba kichwa๐๐๐๐Mwingine ni Nick wa Pili. Anajiita "Army" wqkati army ni Collective noun ambayo inawakilisha kikundi cha Wanajeshi. Sasa yeye yupo pekee yake afu anajiita Army badala ya "Soldier"
Hizo ndio level za kidude na hao ndio ma gwiji.Huwa nikisikia hilo jina la Sitti Bint Saad mchozi mara zite unanitiririka.Siti Binti Saad.
Hao walikuwa ni moto balaaUpo vizuri.
Jaribu kumsikiliza tena Marijani Rajabu. Wimbo wake wa Mwanameka uliwahi kutumika kwenye mtihani wa kumaliza Four 4. Sikumbuki mwaka.
Wasikilize Shaabani Dede, Bichuka, Hemed Maneti, Chidumule, Tx Moshi, Eddy Shegy, Lovy Longomba na wengine wengi.
Kwenye taarabu wasikilize Maulid Machaprara, Fatma issa, Abdallah Issa (super Star), Mohamed ilyas(profesa),
Rukia Ramadhani akiwa Culture , Zuhura Shaabani (melody ya zamani).
Pia nyuma yao alipita Siti bint Saad.
Sikiliza kwa kujifunza, utagundua wanamuziki waliopita walikuwa wako vizuri zaidi ya sasa.
Mimi ni wa kizazi cha sasa na zamani.
Kwa hiyo ww unaona na mwana FA naye anastahiri kuitwa Gwiji au?Nina collection ya nyimbo nyingi kuanzia za zamani na za sasa.
Zilipendwa mpaka za sasa.
Taarab tamaduni na za sasa.
Mchiriku mpaka mnanda.
Nyimbo za makabila n.k.
Wasanii mnaowataja wote nimewasikiliza.
Kazi ya kuwaingizia watu miziki kwenye CD (enzi hizo hakuna flash wala memory kama kipindi hichi) kutengeneza mega kumenifosi kusikiliza wasanii wengi.
Bi Kidude ni wa zamani huu ni ukweli. Lakini ni ukweli pia kwamba alikuja na kua kimya. Akaanza tena kuperform baada ya sauti za busara kuanza..
Kama ugwiji ni kua wa zamani wakina Juma Balo et el wanastahili pia. Bahati mbaya sina wimbo wa Bi Kidude akiwa msichana share hapa kama unao
Ndio maisha ya wasanii wa bongo hayo,wewe ngoja uone Diamondo akiacha mziki atakavyoishi kama shetani vile.Ugwiji wake bi kidude ulimsaidia nini? Niliona kama vile anaishi maisha ya chini sana..nikosolewe kama nilichosema sio sahihi