Diamond hata akifulia hawezi ishi kama shetani. Nadhani zamani mziki ulikuwa haulipi, afadhali sasa hivi mtu anaweza jenga hata kibandaNdio maisha ya wasanii wa bongo hayo,ww ngoja uone Diyamondo akiacha mziki atakavyoishi kama shetani vile.
Sijajua hivi watu wanakuwa wanawaloga wasanii wetu au vipi maana ulaya watu wakistaafu mziki wanaingia kwny chat za mabilionea kama Diddy ,Jay-Z hawaimbi sana lakini wala ingiza hela chafu.
Zinatakiwa zirudi π€¦ββοΈGwiji kwa Kutapeli Fedha za TIGO.
Ugwiji katika fani ni jambo moja na kuwa na maisha mazuri ni jambo lingine.Ugwiji wake bi kidude ulimsaidia nini? Niliona kama vile anaishi maisha ya chini sana..nikosolewe kama nilichosema sio sahihi
Sawa mkuu umeeleweka. Nadhani wasanii wa sasa wana afadhali kidogo kwenye mapatoUgwiji katika fani ni jambo moja na kuwa na maisha mazuri ni jambo lingine.
Ubora wake kwenye fani utaendelea kukubali kwa miongo kadhaa.
Ni kweli aliishi maisha ya chini na Ugwiji wake wa muziki haukumsaidia kuwa na maisha ya kitajiri.
Wanamuziki wengi wa miaka ya nyuma hawakupata maisha ya kitajiri kama wa sasa ni kwa sababu muziki wa sasa umekuwa wa kibiashara zaidi kuliko wa miaka ya nyuma.
Hapo umedhihilisha ww umemjua bibi kidude akiwa kazeeka. Nyimbo zake nyingi unazozisikia kwenye audio vision sio kwamba aliingia studio akaanza kurekod bali zilirekodiwa akiwa jukwaani anaperformAround 2000s halafu nijie kua aliwahi kuwepo Nasma?
Haya tufanye kweli nimezaliwa around 2000s kama unavyodai lakini kwa kila wimbo nilionao wa Bi Kidude nadiriki kusema alikua mtunzi mzuri kuliko performer mzuri.
Ndiyo maana hakuna aliyewahi kuhisi anastahili ugwiji.
Wewe acha ata ajiite mwajuma.Habari wadau..!
Ebu leo tumjadili huyu mtu anayejiita Mwana FA achana na Hamis Mwinjuma maana huyo nasikia siku hizi ni Mbunge huko jimbo la Muheza.
Je, ni sahihi kwa wanamuziki wa kizazi hiki kipya kujivisha ma vyeo kama Gwiji,King n.k wakati hawajawai kuliletea taifa hata tuzo moja ya heshima kama ilivyo kwa Fatuma Binti Baraka (Bibi Kidude ) ambaye mpaka Wikipedia na mitandao mingine mikubwa duniani inamtambua kama Gwiji.
Bi Kidude mpaka umauti unamfika huyu ndio tunamtambua kama Gwiji la muziki ,alikuwa anaimba mpaka watu wanatoka uarabuni na ulaya kuja kumuangalia akiimba.
Sasa huu ugwiji wa mwana FA unatoka wapi??mwenye kujua hili suala atupe ufafanuzi.
Braggadocio is part of hip hop.Habari wadau..!

Umesema kweli.Sawa mkuu umeeleweka. Nadhani wasanii wa sasa wana afadhali kidogo kwenye mapato
Nani tena Tembo maana hili jina linagombaniwaπ π π πAcha tu ajiite hvyo wapo wenzake wanajiita had majina ya wanyama lakin ukiwaangalia uoni ata hizo sifa za majina yao
Mm nimeuliza je anastahili???Kwa hiyo watu wasijiite Gwiji kisa Bi Kidude hakujiita?
Wewe ndio umesema mm sijamtaja mtuπππNani tena Tembo maana hili jina linagombaniwaπ π π π
Ni sawa tu wasipokupa sifa jipe mwenyewe.Habari wadau..!
Ebu leo tumjadili huyu mtu anayejiita Mwana FA achana na Hamis Mwinjuma maana huyo nasikia siku hizi ni Mbunge huko jimbo la Muheza.
Je, ni sahihi kwa wanamuziki wa kizazi hiki kipya kujivisha ma vyeo kama Gwiji,King n.k wakati hawajawai kuliletea taifa hata tuzo moja ya heshima kama ilivyo kwa Fatuma Binti Baraka (Bibi Kidude ) ambaye mpaka Wikipedia na mitandao mingine mikubwa duniani inamtambua kama Gwiji.
Bi Kidude mpaka umauti unamfika huyu ndio tunamtambua kama Gwiji la muziki ,alikuwa anaimba mpaka watu wanatoka uarabuni na ulaya kuja kumuangalia akiimba.
Sasa huu ugwiji wa mwana FA unatoka wapi??mwenye kujua hili suala atupe ufafanuzi.
Uko sahihi sana.Duh yaani Bi kidude akashindane na kina Hadija kopa?
Na kama wewe hukuwahi kumsikia basi hakuwepo?
Aisee
Na ambao hawajawahi msikia Mbaraka Mwinshehe?Nao watasema hakuwa mwanamuziki?
Ambao hawajawahi msikia Marijani Rajabu na wao watasema hakuwa Jabali la Mziki??.
Hivi unajua hata maana ya History?
Ambao hawakuwepo wakati Msuya waziri mkuu waseme waziri mkuu ni Lowasa na Pinda na Majaliwa tu?Wengine wote hawawatambui???
wacha utani ni Sawa na Leo kumchukua Jide akashindane na kina ZuchuHaujajibu swali unazunguka kwenye mifano tu.
Bi Kidude ameimba sana kwenye Sauti Za Busara. Sauti za Busara imekuja baadaye mno baada ya lile shindano la wakina marehemu Nasma, kabla ya Sauti za Busara sikuwahi kumuona akiimba.
Ilikua ni kuona picha na kusikia sifa zake.
Now aliweza panda Sauti za Busara huku umri ukiwa umeenda yet alishindwa kupanda jukwaani miaka 5+ nyuma?
Ndiyo logic yako hiyo?
Hahahah ππππNilianza game kabla flan flani hajafa!mara ghaflaa ghaflaaaaaaaaaaa...........Usiulize.