chawa wa mama
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 292
- 1,087
Mkuu hebu tulia kwanza usome vizuri halafu uta-replyMazoea na rafiki wa mumeo unayapata wapi mpaka kupiga picha jamani
ameelewa mkuu, ameongelea upande wa mwanamkeMkuu hebu tulia kwanza usome vizuri halafu uta-reply
zifute kimya kimya kama waona huwezi himili
atamjibu ilikuwa sherehe tu alafu anaanza kuishi kwa tahadhari kama kweli ana mahusianoKwanini kimya kimya Mkuu? Amuite tu amuulize hizi picha ni aje kupiga picha zote hizi? Nini kinachoendelea kati yenu?
Sijui kwann ila kama hafanyi ndo atafanya baada ya kumwambia hivyo. Yaani ni kama kuna picha anaitengeneza kichwani kwa mwanamke anaanza kuassume. Nadhani atulie tu, afanye uchunguzi kimya kimya itakuwa rahisi sana kuufahamu ukweli kama anautaka.Kwanini kimya kimya Mkuu? Amuite tu amuulize hizi picha ni aje kupiga picha zote hizi? Nini kinachoendelea kati yenu?
Hata asipomuuliza kama mkewe mzinzi ni mzinzi tu, na hakuna mzinzi atakubali kuwa kazini kirahisi rahisi.Rafiki wa mume wangu ni rafiki yake yeye, na rafiki yangu mimi ni wa kwangu
Mkuu mpaka hapo umeshafeli eti unakuja jf kuuliza eti nimuulize
Subiri usimuulize mpaka ukute wamepiga picha za uchi pamoja sawa
Jua kaliwa ha ha haaaaaaaaSiyo sawa Mkuu stuka! Ukiona manyoya.....
Mapenzi ni gunia la misumari!Nikiwa mkubwa siyataki
View attachment 1643412