Je, ni sahihi kwa Mwanamke kupiga picha na rafiki wa mume na kuzitunza katika simu yake?

Umejipima level yako ya performance kitandani?
 
Kama unaishi Dar we piga kimya tu mkulu kizuri kula na nduguyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: BAK
Ukapime na DNA ya huyo mtoto [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu agiza Castle lite tatu na kitimoto kilo moja wape hela yao nakurushia na ya kutolea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sina cha Kusema zaidi ya Kwamba Noa Panga lako vizuri
 
Dah blaza mimi aliniambia atazifuta tena nilimsihi afute palepale mpaka nikamkaba ndo akafuta zile za faragha...Hizi za kawaida akasema atazitunza sehemu azifute...Kumbe Hajafuta bado? Nisamehe mchizi wangu
 
Futa picha zote then mjulishe aki-panic tu, jua tayari mwamba anafanya yake. Ila kama mkeo kakubuhu kwenye sector ya uchepukaji anaweza asi-panic akawa ameusoma mchezo kwamba kuna vitu unahisi. Lakn mwamba naye kajiachia sana na huenda hata hamgongi

Ila kwangu mm ni tofauti kidogo, Kama ww ni rafik yangu then demu wako akiwa na mazoea na mm jua amepona ila ukiona hatuna mazoea jua Nishagonga au nitagonga kivyovyote vile

Sent from my phone
 
Mkuu usiulize chunguza kwanza ,ukipata ushahidi wanadate Let's mwano...plus kutupilia mbali.

Ukikosa ushahidi zungumza kwa upendo BSE qmqmke wanawake wengine Wana akili mbovu ukikurupuka na hajawahi mtunuku huyo jamaa anaamua kumtunuku Mazima.

Tumia Hekima.
 
Mi nimekuelewa!
Sana.
 
Kuna baadhi ya mambo/mtukio ambayo hua yananisikitisha sana pindi mwanaume anapo shindwa kuchukua hatua hadi aombe ushauri.
Mkuu, amakweli watu tumetofautiana sana.
 
Kuna baadhi ya mambo/mtukio ambayo hua yananisikitisha sana pindi mwanaume anapo shindwa kuchukua hatua hadi aombe ushauri.
Mkuu, amakweli watu tumetofautiana sana.
Kwa mwanaume wa Dar hiyo kawaida sana
 
Maumivu ya kichwa huanza taratiiiiiiiiibu.
Huo ukaribu hapana,Kama ni picha za sherehe na zipo nyingi,hakuna shida,ila Kama ni hiyo tu ya njemba,aaaaaah,mtu anakaribia kushikishwa ukuta.
Kiukweli tunaweka picha kwenye simu zile zinazotuvutia,mi shemeji zangu,wenye misambwanda Nina picha zao,kwa sababu wanavutia,ila kwa vile ni wake wa jamaa zangu,naishia kuangaria tu,
Mkeo atakuwa anavutiwa na huyo jamaa yako.
 
Usijaribu kufuta kwani hiyo ni familia.
Ukifuata picha ya familia itakucost
Baba mama na mtoto ni picha muhm sana.

Nakutakia ulezi mwema
 
Nyie ndo mnasababisha magunia ya mkaa yanapanda Bei.
Kazi ya mkaa Ni kupikia tu jamani .naomba tukumbushane
 
Hofu ya mleta mada sio picha.
Labda hamjui.
Hofu YAKE MKEWE ATAKUWA SALAMAAA.
picha tu hazina shida.
Pole kwa mawazo..
Hilo ni kosa kubwa kwa wana ndoa.
Ongea nae kama ana adabu ataomba msamaha na kuwa makini ktk maisha ya ndoa
Ila akipiga chenge kujitetea... basi siyo "MuAminifu kwako"
Tunawatakia amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…