Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora pensi ya kitenge 😀suruali ya kitenge nataka nitinge nayo school kesho, vp niivae au niibwage nisiaibike mkuu?? Au hakuna ubaya??
Ujue kuna pensi halafu kuna kaptura... bora mipensi tuliozoea kuliko vikaptura vilivyokuja kuibuka siku hizi yaani hovyo kabisa eti likaka limevaa kakaptura ka kitenge upana wa chini ni 14 kama surualiVaeni Pensi ni sahihi, shati la Pink hili naonaga miyeyusho tu kwa mkaka/mbaba yeyote! Kuhusu suruale ya kitenge niwaeleze bila kuficha achaneni nazo bhana, vaeni mashati ya kitenge yaliyoshinwa vizuri. Kila la kheri.