Je, ni sahihi kwa sisi tusio wa dini ya Kikristo kusheherekea Mwaka Mpya?

Je, ni sahihi kwa sisi tusio wa dini ya Kikristo kusheherekea Mwaka Mpya?

Acha Ukafiri wako mwaka ndiyo huo huo, kama una kalenda yako mbona hutumii katika maisha yako. Acha ku complicate mambo kisa tamaduni za Mwarabu zimemeza uwezo wako wa kufikiri.
Wewe unafuata tamaduni za nani,
 
Binafsi huwa nachoka sana nikiona rangi nyeusi inaleta ubaguzi kweny kitu kinaitwa dinj
 
Huu mwaka siyo wetu...ni Mwaka wa Kikafir kabisa. Si kama kwenye Kalenda yetu.

Nashangaa naona watu wanatakiana heri na fanaka.
Hata tarehe usiwe unatamka hizi tumieni hizo za kwenu zenye majina ya watu mara mwezi wa abdalah ,juma nk. Hata saa, msitumie Wala simu futeni majira wekeni hayo majina ya kiarabu
 
Na hiyo simu unayotumia sio ya kikafiri? Na mtandao huu unaoutumia sio wa kikafiri?
Sio Makafiri waliotengeneza hayo yote?

Acha Unafiq,
Mkuu wafuasi wa mudi wote wanashida, na ndo maana quran yao wenyewe mudi anasema wafuasi wake wote motoni
 
Aisee watu hata hamjui maana..., haya mambo yote yapo kurahisisha maisha kwahio kuugawa mwaka katika siku 365 na Robo kunarahisisha seasons kuwepo vizuri na bila kupoteza siku na ukizingatia inachukua muda huo dunia kulizunguka jua..., Zamani haikuwa hivyo (kutokana na kutokuwa na ufahamu) ila kutokana na try and errors ndio kama Dunia tulifika hapa and this is efficient ingawa kama ikibadilika au tukapata njia sahihi zaidi tutafanya hivyo...

Kuhusu kusherekea wewe unaweza ukasherekea hata mizimu yako au hata wachina wana Mwaka wao na huwa ni Holiday kubwa sana kwa utamaduni wao lakini ili kuendana na Dunia mfumo huu ndio umeonekana ni more efficient zaidi (By the way ukiongelea Ukristo hivi unajua hata hii X Mass haikuwa tarehe 25 ila ilikuwa moved according to convenience ya kuunganisha sikukuu hii na wapagani Ukizingatia bila Wapagani, Warumi, Yaani St Constantine huenda Ukristu usingekuwa na wafuasi kama ilivyo leo)
 
Watu wako busy na dini wakati Mungu mwenyewe Hana habari na dini zetu yuko busy na maisha yako unayoishi kama yanampendezq yeye na ya usafi Mungu kanuni zake za maisha haziiko that complicated ndio maana kwenye Matayo 5 :8 amesema heri wenye moyo safi ndio watamwona Mungu.Tafuta kuwa na Moyo safi na sio dini safi haipo na Mungu hakuwahi kuanzisha dini sisi sasa tunavyoqngaika nazo .Mimi naamini binadamu wote sawa ,Mungu ametupa nguvu ndani yetu kwenye universe ya kuwa na mamlaka ya kila kitu na kupendna basi hayo mengine ni shida za kutuleletea utengano tu hence moyo wako uchafuke.Mwaka mpya sherehekea ,uhuru wa Tz sherehekea ,kuzqliwa kwa Mtume sherehekea kuzaliwa kwa Yesu the same nothing will make you bad or good. Fanya kazi kwa bidii ,penda watu wote ikiwepo kusaidia wasiojiweza nk jinenee mambo mazuri ,kataa ubaya ndani yako ,usimwonee mtu ,usichukue cha mtu na kama umechukua mzudishie kwani hata ukiwa na dini ukitubu husamehewi mpaka urudishe au umwombe msamaha mhusika .Sasa wewe fia dini na utakuta wapagani wanaoishi kwa kanuni safi wanafanikiwa na watamwona Mungu
Wewe sasa hapo umeanzisha dini yako bila kujijua! .. na muongozo uliotoa ndo nguzo za imani ya dini yako. Unaposema dini sio msingi wa mwanadamu kupata radhi za Mungu inakuwa pia umesema hakuna muongozo wowote wa imani na ibada kwakuwa ni only kupitia hizo dini ndo watu wamejua kuwa kuna Mungu anaepaswa kuabudiwa na yale anayoyataka kwetu ni yapi.

Pia nashangaa unasema Mungu hana mpango na sisi tufate dini gani halafu hapohapo bado una-quote reference ya Matayo. Unachokisema ni hatari sana na kimsingi kinaongozwa na ufinyu wa elimu ya dini yako na pia basic understanding ya dini nyengine (Kumradhi kwa maneno makali).

Kwa mtazamo wangu mara nyingi watu wenye misimamo kama yako ni wale wenye shaka na imani waliyoirithi kutoka kwa wazazi/walezi wao ama wale wanaoona kuwa kuna mambo ambayo ni ya msingi katika hiyo imani lakini haya-make sense, ama kuna maswali mengi ambayo wamekosa majibu yake, mbaya sasa ni kuamua kwenu kuwa dini ni uongo kiujumla only kwa sababu ya yale ambayo dini yako haijatoa majibu ama wewe mwenyewe umeshindwa kutafuta majibu kutoka katika source za dini yako na viongozi wako.

Ushauri wangu ni kwamba, soma dini yako! uliza maswali pale unapoona majibu hayajitoshelezi na pia jaribu kupata basic understanding ya dini nyengine bila biasness wala chuki. While u r doing that, with sincerity pray to God in your own way akuthibitishe katika imani yako ikiwa upo kwenye njia sahihi ama akuongoze katika lile lililo sahihi na akufanyie wepesi kuuona na kuukubali ukweli ikiwa sasa upo mbali na huo ukweli.

Naamini sote tunaamini kuwa kuna Mungu muumba wa mbingu na ardhi, sasa maombi yako yaelekeze kwake tu bila kuegemea kwenye imani yoyote ikiwa upo katika mashaka juu ya kile unachokiamini.
Sifa hiyo moja tu ya uumbaji inatosha kukuelekeza kwake bila hata kutumia mafundisho yoyote kwakuwa regardless dini ipi inamuita nani Mungu ama inamuita kwa jina gani ... inabakia kuwa yule aliyeumba mbingu na ardhi ndie Mungu pekee wa kweli. Muombe yeye kwa lugha yako na yeye atakuongoza.
 
Back
Top Bottom