Je, ni sahihi kwa starlet yenye cc1300 kutembea kilomita 8 kwa lita moja ya petroli?

Je, ni sahihi kwa starlet yenye cc1300 kutembea kilomita 8 kwa lita moja ya petroli?

Jombaa umetumia ushauri wa jamaa kwa gari yako?

Umefanya kazi?
Hahahah hamna mkuu nazingua.

Sema alichoshauri 90% ni sahihi japo siwezi kuweka mafuta ya taa kwenye engine yangu. Bora kuweka ile engine flush uiweke kama additive kwenye wese.

Ulaji wa mafuta unasababishwa na mengi ikiwamo clogged nozzles, bad plugs, bad coils, air intake issues kama dirty throttle body, clogged air filter,bad throttle timming. Ukiweza deal na hayo matatizo yote kwa usahihi basi utafikia kuwa na economy nzuri provided gearbox iko vizuri na utendaji wake.

Mfumo wa mafuta na hewa ukiwa 100% clear basi gari lazma iwe efficient in accordance to manufacturer specifications.
 
Back
Top Bottom