Bila Marekani, Saudi Arabia isingekuwa kama ilivyo. Ingeishageuka Afghanistan zamani.
Je ni halali taifa 'takatifu' kulindwa na taifa chafu kama Marekani? Wanangu wenye kujua nisaidieni.
Tatizo la kutokujua history ndo hili!
Ufalme wa Saudia ulitengenezwa kwa msaada wa hila UK, hii ni kabla ya WW2. Kipindi hiki the world super power was UK, then after the war ilitokea shift of power due to a vacuum that was created kwa kudhoofika kwa world then super powers, hapo ndipo US ilipapata upenyo wa kuwa super power.
Kwa manufaa yako tu unapaswa kuelewa kamwe mzungu hajawahi kuwa na maslahi yako moyoni, kuanzia kwa Mreno, Muingereza, Mjerumani, Mfaransa etc. Huko nyuma mwenye mpini (anaeshikilia koloni ama resorce muhimu overseas) alilinda mamlaka yake kwa nguvu na hii ndio iliyopelekea vita kuu mbili za dunia.
Wazungu walitambua kuwa they cannot afford to have another world war as ni hasara kwao wao wenyewe kwa wenyewe, so they created a UN. Guess nani alikuwa kiranja wa UN! ... USA, they were now the new Super power and automatically yeye ndo kiranja wa dunia.
So kwa kutambua hilo unapaswa ujue the same reasons kwanini wazungu walimtawalisha Al Saudi as King wa Hijaz na kubadilisha jina kuwa Saudi Arabia, the same reasons zinaendelea isipokuwa sasa anayeongoza campaign ni US government.