Je ni sahihi kwa taifa 'takatifu' kuongozwa na kulindwa na Marekani taifa chafu kuliko yote?

Je ni sahihi kwa taifa 'takatifu' kuongozwa na kulindwa na Marekani taifa chafu kuliko yote?

Wana miji na si nchi takatifu Kwa ujumla wake, wale kina Al Saudi ni Wahuni tu kama Wahuni wengine waliowahi kutokea duniani.
 
Kwa waislamu maka na madima ni sehemu takatifu sana.

Kwa wasaudia maka na madina ni historical sites tu kwaajili ya kuwaingizia pesa.
Saudia wanatoa hela nyingi zaidi kuliko hela wanazoingiza hapo Mecca na Madina, sometime kuna project hazina hata maana zinawekezwa tu.

Pia hela inayo ingia kwenye Hijja compare na GDP ya Saudi ni rounding figures tu, inaweza isifike hata 1% ya Gdp.
 
Eti taifa chafu, una akili timamu kweli
 
Hata Covid sio sio siri ni Ugonjwa uliotengenezwa kuua watu weusi,

Ashkenaz jews ndio binadamu ambao damu zao zipo strong vs Covid na wabantu ndio damu ambayo ipo weak vs Covid,


View: https://x.com/Resist_05/status/1682168651590569984

Alianza JF keneddy Jr na kuna studies kibao zimefanyika kubackup hio claim.


Kwa hiyo kwa kuwa haiwaathiri Chinese au Jews ina maana kuwa ndo ilitengenezwa specifically for black people?

Unajua kuna races ngapi duniani?

Hapa Bongo tulikuwa na very loose lifestyle wakati wa COVID tulikufa wengi kama Wachina?

Niletee article au video clip ya RFK Jr akisema kuwa Covid ililetwa ili kuangamiza black people?

Victim mindset itawamaliza black people.

Yaani Covid itengenezwe kwa ajili yenu alafu first outbreak itokee China? Kwanini isingeanzia Congo huko?
 
  • Thanks
Reactions: FWC
Mkuu!

Achana na matangopori hayo!

Dhana ya taifa takatifu ni ya kubuni haipo katika uhalisia!

Wewe na uzao wako yawezekana Kwa mbaali sana mkawa watakatifu kuliko hata hao waisrael wa mchongo wanaomwaga dam za watu!
 
Mwisho wa siku utakuja kugundua kuwa Israeli inalindwa na USA na washirika wake kwa ombi la Papa ili kuzuia kuenea kwa uislamu.
 
Kwa hiyo kwa kuwa haiwaathiri Chinese au Jews ina maana kuwa ndo ilitengenezwa specifically for black people?

Unajua kuna races ngapi duniani?

Hapa Bongo tulikuwa na very loose lifestyle wakati wa COVID tulikufa wengi kama Wachina?

Niletee article au video clip ya RFK Jr akisema kuwa Covid ililetwa ili kuangamiza black people?

Victim mindset itawamaliza black people.

Yaani Covid itengenezwe kwa ajili yenu alafu first outbreak itokee China? Kwanini isingeanzia Congo huko?
1. Bongo watu walikua loose, hii ishazungumziwa siku nyingi viral diseases zinaathiri sana maeneo yenye baridi kuliko kwenye joto, watu weusi ambao walikua Marekani na Ulaya Fatality rate ilikuwa ni kubwa kushinda race yoyote ile

Ushahidi
hhr-22-02-299-g001.jpg



Ukisoma hapo Katika kila watu weusi 100,000 97 walikufa kwa Covid, lakini kwa weupe ama Asian ni chini ya 50. So weusi walikufa mara 2 zaidi ya weupe.

2. Kama hawataki Watu weusi Usa ama Ulaya Kuleta Ugonjwa Congo kunasaidia? Si ndo itafanya ongezeko kubwa la wakimbizi hizo nchi?

3. Ushahidi wa JF Kennedy kusema hivyo

4. Scientific studies zinazo backup maneno ya Kennedy


F1RTalTaUAAgLvz.jpeg
 
Eti taifa chafu, una akili timamu kweli
Kama wameruhusu mapenzi na ndoa za jinsia moja siyo taifa chafu hilo?

Kama wameruhusu wanawake kutoa mimba siyo taifa chafu hilo?

Kama wameruhusu matumizi ya mihadarati siyo taifa chafu hilo?

Je hayo ni mambo yampendezayo Mungu?

Wewe hapo ulipo unaweza kufanya mapenzi na mwanaume mwenzio?
 
Kwanza kabisa the idea kwamba HIV ilitengnezwa kumaliza Waafrika ni uongo. As we speak kuna Wamarekani Milioni 1.2 wanaishi na virusi vya UKIMWI

The idea that kuna watu walikaa wakaja na mpango wa kuwapunguza Waafrika via HIV ni facade. Tunajipa umuhimu sana. We are not a threat to Americans.

We could have that discussion kama sisi tungekuwa Warusi au Wachina

Secondly, Marekani alikuwa na uwezo na mamlaka ya kutotupa hizo ARV bure hata kama UKIMWI ulitokea huko. Sio kwamba ni lazima wao watoe hiyo funding ya ARV kwa Tanzania.

Hivi ushawahi kuwaza ARV zingekuwa zinauzwa ni watu wangapi wangekufa hadi sasa hivi?
Neno Waafrica kwenye uzi wa jamaa umelitoa wapi? Hakuna sehemu kasema eti HIV ilitengenezwa kwa ajili ya kuua Waafrica; hebu msome tena
 
Back
Top Bottom