Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Bila Marekani, Saudi Arabia isingekuwa kama ilivyo. Ingeishageuka Afghanistan zamani. Je ni halali taifa 'takatifu' kulindwa na taifa chafu kama Marekani? Wanangu wenye kujua nisaidieni.
Nini maana ya Utakatifu/takatifu?Saudia ni nchi ambayo kuna maeneo matakatifu, kama ilivyo palestine
Mkuu utanitag kama mtoa mada ataweza kujibu hili swali lako.Unaita taifa linalowapa ARV bure na ambalo liliwasaidia unga wa DONOR mlipo kuwa na njaa baada ya vita ya Kagera chafu?
Kama Marekani ni taifa "chafu" kwanini for the last 4 years kuna wahamiaji Milioni 15 wameingia?
Na nani kakwambia Saudi Arabia ni takatifu? Unajua MBS alichomfanya yule mwandishi wa habari Khashoggi?
Hii nchi uhuru umezidi
Ninakubaliana na wewe kiasi kikubwa ila hapo kwenye ARV sikuungi mkono , YAANI MTU ATENGENEZE VIRUSI VYA UKIMWI KWENYE MAABARA HALAFU UNAMPONGEZA KWA KUKUTENGENEZEA ARV!!! Hata kama tunaipenda Marekani lakini mahaba yasipitilize hivyo. Work up AfricaUnaita taifa linalowapa ARV bure na ambalo liliwasaidia unga wa DONOR mlipo kuwa na njaa baada ya vita ya Kagera chafu?
Kama Marekani ni taifa "chafu" kwanini for the last 4 years kuna wahamiaji Milioni 15 wameingia?
Na nani kakwambia Saudi Arabia ni takatifu? Unajua MBS alichomfanya yule mwandishi wa habari Khashoggi?
Hii nchi uhuru umezidi
Ninakubaliana na wewe kiasi kikubwa ila hapo kwenye ARV sikuungi mkono , YAANI MTU ATENGENEZE VIRUSI VYA UKIMWI KWENYE MAABARA HALAFU UNAMPONGEZA KWA KUKUTENGENEZEA ARV!!! Hata kama tunaipenda Marekani lakini mahaba yasipitilize hivyo. Work up Africa
Ni utakaso yaan usafi kiimani isiyo na madoa yaan najisi ya aina yoyote ile. Kwa mfano mtoto aliyezaliwa leo huyo ni mtakatifu hana dhambi wala ubaya aina yoyote ile.Nini maana ya Utakatifu/takatifu?
Asante mkuu kwa ufasili huu muruaNi utakaso yaan usafi kiimani isiyo na madoa yaan najisi ya aina yoyote ile. Kwa mfano mtoto aliyezaliwa leo huyo ni mtakatifu hana dhambi wala ubaya aina yoyote ile.
Tatizo la kutokujua history ndo hili!Bila Marekani, Saudi Arabia isingekuwa kama ilivyo. Ingeishageuka Afghanistan zamani.
Je ni halali taifa 'takatifu' kulindwa na taifa chafu kama Marekani? Wanangu wenye kujua nisaidieni.
Watu si ndio wanaenda kutakaswa Sasa na kupata baraka hivyo wenye dhambi wanakanyaga, lakini si ruksa kufanya dhambi pale na haifanyiki paleAsante mkuu kwa ufasili huu murua
Kwa maana hiyo unamaanisha, hayo maeneo matakatifu, hayakanyagwi na wenye dhambi wala kifanyika dhambi katika maeneo hayo mkuu
Ni kweli kuna mengine ambayo sio ya kweli na yanabaki kuwa ni hisia tu. Ila tunaelezwa kuwa Marekani imekuwa ikilaumiwa miaka mingi kuwa kujenga maabara za siri sana ambazo ni hatari kwa afya za wanadamu. Na majaribio yao wanafanyia kwetu. Hata Ebola inaaminika ni Virus wa MaabaraKwanza kabisa the idea kwamba HIV ilitengnezwa kumaliza Waafrika ni uongo. As we speak kuna Wamarekani Milioni 1.2 wanaishi na virusi vya UKIMWI
The idea that kuna watu walikaa wakaja na mpango wa kuwapunguza Waafrika via HIV ni facade. Tunajipa umuhimu sana. We are not a threat to Americans.
We could have that discussion kama sisi tungekuwa Warusi au Wachina
Secondly, Marekani alikuwa na uwezo na mamlaka ya kutotupa hizo ARV bure hata kama UKIMWI ulitokea huko. Sio kwamba ni lazima wao watoe hiyo funding ya ARV kwa Tanzania.
Hivi ushawahi kuwaza ARV zingekuwa zinauzwa ni watu wangapi wangekufa hadi sasa hivi?
Saudi Arabia siyo nchi takatifu.Nini maana ya Utakatifu/takatifu?
Angalau hata ungesema Uingereza sawa, hizo nchi za Gulf hapo zina mkataba wa kulindwa na Uingereza sio Marekani,Bila Marekani, Saudi Arabia isingekuwa kama ilivyo. Ingeishageuka Afghanistan zamani.
Je ni halali taifa 'takatifu' kulindwa na taifa chafu kama Marekani? Wanangu wenye kujua nisaidieni.
Hata Covid sio sio siri ni Ugonjwa uliotengenezwa kuua watu weusi,Ni kweli kuna mengine ambayo sio ya kweli na yanabaki kuwa ni hisia tu. Ila tunaelezwa kuwa Marekani imekuwa ikilaumiwa miaka mingi kuwa kujenga maabara za siri sana ambazo ni hatari kwa afya za wanadamu. Na majaribio yao wanafanyia kwetu. Hata Ebola inaaminika ni Virus wa Maabara