Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

Yes ni sawa, mtumishi wa umma anapofikisha umri wa kustaafu kwa mujibu wa miaka 60, kama hakuna replecement, anaruhusiwa kuongezewa mkataba wa miaka miwili miwili mwisho mikataba 2. akifikisha umri wa 65 ndio umri wa mwisho kwa mtumishi wa umma.
P
Ila nafikiri siyo automatic. Inabidi kibali kitoke Utumishi kuonyesha kuwa hakuna kweli replacement. Otherwise CEO au Accounting Officer hana mamlaka ya kumuongezea mfanyakazi mkataba kwa jinsi anavyopenda yeye.

Isitoshe kusema kuwa kwa sasa Tanzania hakuna nafasi ambayo haiwezi kuzibwa na Mtanzania mwingine. No body is indispensable
 
Tanzania ina very poor succession plan kwa sababu kumekuwa na gaps nyingi katika ajira. Kuna nafasi inaweza kupita zaidi ya miaka 5 hajaajiriwa mtu, hivyo kulazimika kuendelea na waliopo.
 
Ila nafikiri siyo automatic. Inabidi kibali kitoke Utumishi kuonyesha kuwa hakuna kweli replacement. Otherwise CEO au Accounting Officer hana mamlaka ya kumuongezea mfanyakazi mkataba kwa jinsi anavyopenda yeye.

Isitoshe kusema kuwa kwa sasa Tanzania hakuna nafasi ambayo haiwezi kuzibwa na Mtanzania mwingine. No body is indispensable
Its true, japo no one is indispensable, lakini kuna wengine kulazimika kuongezewa for smooth transition,haswa wakuu wa Vyombo vya ulinzi na usalama.
P
 
Borea mbaki na boss mzoefu anayejua A-Z za kuwatafutia kazi..kuliko aje mpya kijana hata mazingira hayajui inachukua mda kwa yeye kuzijua ndondo.[emoji1787][emoji1787]
 
Ok sawa. Sasa embu fikiria kazi kama head of internal audit and head of finance while there are a lot of professionals and even more qualified than them within the same organization, lakini wanongezewa mkataba halafu unaambiwa ni ili wafanye kazi fulani ambayo kuna professionls ndani ya taasisi zaidi yao
 
ok sawa......sasa embu fikiria kazi kama head of internal audit and head of finance while there are a lot of professionals and even more qualified than them within the same organization....lakini wanongezewa mkataba.....halafu unaambiwa ni ili wafanye kazi fulani ambayo kuna professionls ndani ya taasisi zaidi yao
Inawezekana hao professionals hawajitumi kwa mujibu wa management. Kuwa professional peke yake haku-guarantee upewe nafasi ya uongozi!
 
Yaani laiti mngejua mimi hapa nina jipu nataka kulipasua ila tujadili kwanza
 
Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba?

Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
Hao watu wanakuwaga walozi, anaweza kutembelea hadi mkongojo bado ni bosi na hakuna wa kumgusa..........na huwaga wanaacha mambo yamevurugika kabisa wakishaondoka.
 
Kuna Watu wanataka kutokea Kazini wakipelekwa Makaburini
 
Itaje

Itaje
Tanapa - Mkaguzi Mkuu wa nadani amestaafu na amepewa mkataba wa miaka miwili …..director of finance is in the extension of contract almost two years now. This is not healthy for organization rather for kijazi alone. Mjue tu Kijazi kaondoka tanapa lakini kaacha vitu vingi vibaya sana hasa kwenye procurements.
 
Mambo ya miaka ya 1960 kurudi nyuma ambapo hapakuapo na wasomi.
Mara nyingi choyo,ubinafsi,ujamaa,udugu na rushwa husababisha mambo kama hayo hasa kipindi hiki cha tatizo la ajira
 
currently they are trying to terminate some of the dubious procurement contracts entered... during kijazi on the expense of the organization....i have secretly liaise with CAG auditors during their annual audit ...but due to availability of high corruption environment my efforts were in vain....
 
Back
Top Bottom