super eagle
Member
- Jun 23, 2021
- 38
- 24
Yes ni sawa, mtumishi wa umma anapofikisha umri wa kustaafu kwa mujibu wa miaka 60, kama hakuna replecement, anaruhusiwa kuongezewa mkataba wa miaka miwili miwili mwisho mikataba 2. akifikisha umri wa 65 ndio umri wa mwisho kwa mtumishi wa umma.je nisawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba...
Ila nafikiri siyo automatic. Inabidi kibali kitoke Utumishi kuonyesha kuwa hakuna kweli replacement. Otherwise CEO au Accounting Officer hana mamlaka ya kumuongezea mfanyakazi mkataba kwa jinsi anavyopenda yeye.Yes ni sawa, mtumishi wa umma anapofikisha umri wa kustaafu kwa mujibu wa miaka 60, kama hakuna replecement, anaruhusiwa kuongezewa mkataba wa miaka miwili miwili mwisho mikataba 2. akifikisha umri wa 65 ndio umri wa mwisho kwa mtumishi wa umma.
P
Tanzania ina very poor succession plan kwa sababu kumekuwa na gaps nyingi katika ajira. Kuna nafasi inaweza kupita zaidi ya miaka 5 hajaajiriwa mtu, hivyo kulazimika kuendelea na waliopo.Ila nafikiri siyo automatic. Inabidi kibali kitoke Utumishi kuonyesha kuwa hakuna kweli replacement. Otherwise CEO au Accounting Officer hana mamlaka ya kumuongezea mfanyakazi mkataba kwa jinsi anavyopenda yeye.
Isitoshe kusema kuwa kwa sasa Tanzania hakuna nafasi ambayo haiwezi kuzibwa na Mtanzania mwingine. No body is indispensable
Its true, japo no one is indispensable, lakini kuna wengine kulazimika kuongezewa for smooth transition,haswa wakuu wa Vyombo vya ulinzi na usalama.Ila nafikiri siyo automatic. Inabidi kibali kitoke Utumishi kuonyesha kuwa hakuna kweli replacement. Otherwise CEO au Accounting Officer hana mamlaka ya kumuongezea mfanyakazi mkataba kwa jinsi anavyopenda yeye.
Isitoshe kusema kuwa kwa sasa Tanzania hakuna nafasi ambayo haiwezi kuzibwa na Mtanzania mwingine. No body is indispensable
Inawezekana hao professionals hawajitumi kwa mujibu wa management. Kuwa professional peke yake haku-guarantee upewe nafasi ya uongozi!ok sawa......sasa embu fikiria kazi kama head of internal audit and head of finance while there are a lot of professionals and even more qualified than them within the same organization....lakini wanongezewa mkataba.....halafu unaambiwa ni ili wafanye kazi fulani ambayo kuna professionls ndani ya taasisi zaidi yao
Hao watu wanakuwaga walozi, anaweza kutembelea hadi mkongojo bado ni bosi na hakuna wa kumgusa..........na huwaga wanaacha mambo yamevurugika kabisa wakishaondoka.Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba?
Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
As long hauko ndani ya management huna unalolijua bali una-guess tu!na linahusu taasisi ambayo nina ifahamu kwa karibu sana
ItajeNa linahusu taasisi ambayo nina ifahamu kwa karibu sana
Tanapa - Mkaguzi Mkuu wa nadani amestaafu na amepewa mkataba wa miaka miwili …..director of finance is in the extension of contract almost two years now. This is not healthy for organization rather for kijazi alone. Mjue tu Kijazi kaondoka tanapa lakini kaacha vitu vingi vibaya sana hasa kwenye procurements.Itaje
Itaje