Wadau naomba kupata ufahamu Je ni sahihi mikutano ya vyama vya SIASA kufanyikia IKULU?
La hasha, siyo sahihi! Iwe vyama ama chama kwa vyo vyote vile sio sahihi!Mbona umeandika kwa kukurupuka utafikiri upo Myanmar.Ulipaswa kuuliza ni sahihi CCM kufanyia mikutano ikulu? Unapotumia neno vyama vya siasa unamaanisha chadema,cha umma,cuf,nccr mageuzi na wengine wote huwa wanafanyia mikutano ikulu
Lakini umeelewa ehee,Mbona umeandika kwa kukurupuka utafikiri upo Myanmar.Ulipaswa kuuliza ni sahihi CCM kufanyia mikutano ikulu? Unapotumia neno vyama vya siasa unamaanisha chadema,cha umma,cuf,nccr mageuzi na wengine wote huwa wanafanyia mikutano ikulu