Je ni sahihi mikutano ya vyama vya SIASA kufanyikia IKULU?

f_m

Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
58
Reaction score
35
Wadau naomba kupata ufahamu Je ni sahihi mikutano ya vyama vya SIASA kufanyikia IKULU?
 
Nakumbuka Mwl. J.K aliwahi kusema IKULU ni maali patakatifu, he kwa hill ni sawa kupageuza sehemu ya kufanyia mambo binafsi?
 
Mbona umeandika kwa kukurupuka utafikiri upo Myanmar.Ulipaswa kuuliza ni sahihi CCM kufanyia mikutano ikulu? Unapotumia neno vyama vya siasa unamaanisha chadema,cha umma,cuf,nccr mageuzi na wengine wote huwa wanafanyia mikutano ikulu
 
La hasha, siyo sahihi! Iwe vyama ama chama kwa vyo vyote vile sio sahihi!
 
  • Thanks
Reactions: f_m
Sio sahihi isipokuwa ccm hawana hela ya kukodi ukumbi. Hela yote ya ruzuku wamekula kina Pole Pole na genge lake pamoja na kuhonga madiwani wa Arusha/Kilimanjaro.

Kilichobaki ni wao kutumia Ikulu kupanga mikakati yao ya kuinajisi nchi
 
Mbona umeandika kwa kukurupuka utafikiri upo Myanmar.Ulipaswa kuuliza ni sahihi CCM kufanyia mikutano ikulu? Unapotumia neno vyama vya siasa unamaanisha chadema,cha umma,cuf,nccr mageuzi na wengine wote huwa wanafanyia mikutano ikulu
Lakini umeelewa ehee,
 
Si sahihi hata kidogo. Ikulu ni ofisi ya umma yaani watz wote bila kujali ana chama au la
Hivyo hairuhusiwi maana utazuia kazi isiendelee kwa kelele zenu.
In sawa na shuleni, huwezi fanyia mkutano wa Kitongoji wakati masomo yanaendelea labda mkutano maalumu kwa ajili ya wanafunzi.

Kujua hilo si sahihi, waende CUF ya Maalimu au CDM waombe wafanyie basi kama watapewa
 
Back
Top Bottom