Je, ni sahihi mke/mume/wapenzi kupostiana mitandaoni?

Je, ni sahihi mke/mume/wapenzi kupostiana mitandaoni?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Kuna hawa wanasema, mtu atakupost mitandaoni ila moyoni mwake haupo.

Kuna hawa wanasema, mtu akupost mitandaoni ili watu wajue unapendwa kwa sababu huko moyoni hamna anayekuonako[emoji23]
 
Kumpost Aina Yeyote ya Mwenza kwenye mitandao halijawahi kuwa ishara ya upendo wowote...

Wengi wanafanya hivyo kwa malengo tofauti....

Mwanamke anaweza mpost Huyo Mwenza was kiume mtandaoni aidha kwa kutaka kujua yupo mwenyewe, au kumkomoa mwanamke wa Ndoa ili afanikishe adhima yake ya kuachana au kumkomoa Yule wanaae shindana naye kwenye hicho kinyang'anyiro..

Kumbuka Mwanaume asiye na ukwasi hawezi kupositiwa na Mwanamke mitandaoni..

Mwanaume kumpost Mwenza wake, wengi hufanya kwa shinikizo la upande wa mwanamke ili kukridhisha kuwa yupo mwenyewe..

Kumbuka Mwanaume mwenye Mwanamke asiye na nyazifa Fulani hawezi postiwa na Mwenza wake wa kiume..

Wengine wanaofanya hivyo bila kuwa na dhumuni lolote Ni watoto wa miaka chini ya 27 kushuka chini.

Nawasilisha
 
Sitasahau ile siku niliyoachwa na aliyekuwa mpenzi wangu.nakumbuka kuna demu alinipa kazi niiprint t shirt yake ya birthday pamoja na kudesign poster ya birthday yake..Nikafanya kazi,akanilipa pesa yangu,nikamtumia kazi yake kisha nikaipost pia kwenye accounts zangu zote..

Nakumbuka hiyo ndy ilikuwa sababu ya kuachwa na mpenzi wangu,nilitumia kila mbinu kujitetea kwa Rose wangu nikamwambia Ile ni kazi Tu na nimelipwa alichonijibu ni Kwa nn yeye sijawahi kumpost hata siku moja lkn hawa 'malaya zangu' kila siku nawapost mitandaoni,amenichoka na hii Tabia ya umelaya
 
Aisee Rose alikuwa chuo mwaka wa ngapii?? [emoji23][emoji23]
 
Hivi mama D yeye anasemaje kwani!???
Naamini watu hufanya vitu vinavyowafurahusha wao wenyewe na watu pia hupenda kusikia watu wao wa karibu wakifurahi nao kupitia hizi posts

Ila siamini kwamba kwenye kupostiana kwenye mitandao ndio upendo... eti kwamba ukipostiwa ndio unapendwaaaaa

Unawezakuta kupostiwa kwako ni kutengenezwa tuu ili uweze kuibiwa kirahisi zaidi😅😅😅
 
Aisee Rose alikuwa chuo mwaka wa ngapii?? [emoji23][emoji23]
Ahahahah Rose hakuwa mwanafunzi wa chuo mkuu.Ni binti wa mtaani..Ila Rose alikuwa mrembo wa Sura na umbo la kuvutia.Nilikuwa nikipita nae mahali watu lazima wamwangalie

Rose sijui Kwa nn uliniacha kikatili vile.Bado nazikumbuka nywele zako ndefu Kama za kisomali na rangi yako ya chocolate..nilikupenda sn mmbulu wangu
 
Ahahahah Rose hakuwa mwanafunzi wa chuo mkuu.Ni binti wa mtaani..Ila Rose alikuwa mrembo wa Sura na umbo la kuvutia.Nilikuwa nikipita nae mahali watu lazima wamwangalie

Rose sijui Kwa nn uliniacha kikatili vile.Bado nazikumbuka nywele zako ndefu Kama za kisomali na rangi yako ya chocolate..nilikupenda sn mbili wangu
Mkuu una kuku mweupe hapo tumrudishe rose ??
 
Unaweza kumpost tu as long as lengo ni kuweka social media album na timeline..... Ila kama lengo ni kuwakomesha ma X na kuwavimbia washindani wako then me sitokushauri ujiingize katika maswala ya kupost picha.
Aaahhh Nmekupata vema mkuuu
 
Back
Top Bottom