Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Sitasahau ile siku niliyoachwa na aliyekuwa mpenzi wangu.nakumbuka kuna demu alinipa kazi niiprint t shirt yake ya birthday pamoja na kudesign poster ya birthday yake..Nikafanya kazi,akanilipa pesa yangu,nikamtumia kazi yake kisha nikaipost pia kwenye accounts zangu zote..
Nakumbuka hiyo ndy ilikuwa sababu ya kuachwa na mpenzi wangu,nilitumia kila mbinu kujitetea kwa Rose wangu nikamwambia Ile ni kazi Tu na nimelipwa alichonijibu ni Kwa nn yeye sijawahi kumpost hata siku moja lkn hawa 'malaya zangu' kila siku nawapost mitandaoni,amenichoka na hii Tabia ya umelaya
Naamini watu hufanya vitu vinavyowafurahusha wao wenyewe na watu pia hupenda kusikia watu wao wa karibu wakifurahi nao kupitia hizi postsHivi mama D yeye anasemaje kwani!???
Kama una uhakika unakula mwenyew post tuKuna hawa wanasema, mtu atakupost mitandaon ila moyon mwake haupo.
Kuna hawa wanasema, mtu akupost mitandaon ili watu wajue unapendwa kwa sababu huko moyoni hamna anayekuonako[emoji23]
Wasubiri sana tuu hahaha.Mke/mume ni sahihi,..hao wengine wasubiri ndoa,
Ahahahah Rose hakuwa mwanafunzi wa chuo mkuu.Ni binti wa mtaani..Ila Rose alikuwa mrembo wa Sura na umbo la kuvutia.Nilikuwa nikipita nae mahali watu lazima wamwangalieAisee Rose alikuwa chuo mwaka wa ngapii?? [emoji23][emoji23]
Mkuu una kuku mweupe hapo tumrudishe rose ??Ahahahah Rose hakuwa mwanafunzi wa chuo mkuu.Ni binti wa mtaani..Ila Rose alikuwa mrembo wa Sura na umbo la kuvutia.Nilikuwa nikipita nae mahali watu lazima wamwangalie
Rose sijui Kwa nn uliniacha kikatili vile.Bado nazikumbuka nywele zako ndefu Kama za kisomali na rangi yako ya chocolate..nilikupenda sn mbili wangu
Mkuu Kwa sasa simwitaji tena,kaolewa na kazalishwa,alafu amechuja siyo km Yule Rose wa zamaniMkuu una kuku mweupe hapo tumrudishe rose ??
Uzungu mwingiKuna wanaopost mpaka convo zao
Aaahhh Nmekupata vema mkuuuUnaweza kumpost tu as long as lengo ni kuweka social media album na timeline..... Ila kama lengo ni kuwakomesha ma X na kuwavimbia washindani wako then me sitokushauri ujiingize katika maswala ya kupost picha.