Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
-
- #21
A[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ndo maana mwaogopa kupostianaa..watu waogopa the FutureKupostiwa hakuna maana na cku ukiachwa watu wote watajua maan utakua hupostiw tna[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]wanabebishanaKuna wanaopost mpaka convo zao
Hahaha watoto wa miaka 27Kumpost Aina Yeyote ya Mwenza kwenye mitandao halijawahi kuwa ishara ya upendo wowote...
Wengi wanafanya hivyo kwa malengo tofauti....
Mwanamke anaweza mpost Huyo Mwenza was kiume mtandaoni aidha kwa kutaka kujua yupo mwenyewe, au kumkomoa mwanamke wa Ndoa ili afanikishe adhima yake ya kuachana au kumkomoa Yule wanaae shindana naye kwenye hicho kinyang'anyiro..
Kumbuka Mwanaume asiye na ukwasi hawezi kupositiwa na Mwanamke mitandaoni..
Mwanaume kumpost Mwenza wake, wengi hufanya kwa shinikizo la upande wa mwanamke ili kukridhisha kuwa yupo mwenyewe..
Kumbuka Mwanaume mwenye Mwanamke asiye na nyazifa Fulani hawezi postiwa na Mwenza wake wa kiume..
Wengine wanaofanya hivyo bila kuwa na dhumuni lolote Ni watoto wa miaka chini ya 27 kushuka chini.
Nawasilisha
[emoji23][emoji23][emoji23]Rose kama RoseSitasahau ile siku niliyoachwa na aliyekuwa mpenzi wangu.nakumbuka kuna demu alinipa kazi niiprint t shirt yake ya birthday pamoja na kudesign poster ya birthday yake..Nikafanya kazi,akanilipa pesa yangu,nikamtumia kazi yake kisha nikaipost pia kwenye accounts zangu zote..
Nakumbuka hiyo ndy ilikuwa sababu ya kuachwa na mpenzi wangu,nilitumia kila mbinu kujitetea kwa Rose wangu nikamwambia Ile ni kazi Tu na nimelipwa alichonijibu ni Kwa nn yeye sijawahi kumpost hata siku moja lkn hawa 'malaya zangu' kila siku nawapost mitandaoni,amenichoka na hii Tabia ya umelaya
Nasio kupost..huku wana wanasema
🤣🤣Kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]Rose kama Rose
[emoji23][emoji23][emoji23]wanabebishana
Uzungu mwingi