Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Sote tunajua kiwango cha Jonas Mkude wa Simba kilivyo msimu uu amekua na kiwango bora aana cha kushangaza kocha mkuu wa Staz ameamua kumuacha kwa sababu zisizoeleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ni mzuri mbona mkia inachapwa kila kukicha?
Taifa stars sio kikosi cha wachezaji wanaotamalaki kwenye kurasa za magazeti...
HAWEZI KUPATA NAFASI MBELE YA DOMAYO au TELELA au SURE BOY.
Bila kumsahau ingizo jipya said makapu "kizota"
Tana anafanya vizuri mbele ya Yanga baada ya kuweka miti shamba:lol:mkude huwa anafanya vizuri dhidi ya yanga tu....zaid ya hapo ni mchezaji wa kawaida tu
Yanga africa,Huyu simjui mkuu, wa timu gani? nataka nianze kumfuatilia
Yanga africa,
Kijana anaujua mpira wa kila aina, nguvu, pasi fupi fupi, pasi ndefu yaani dogo ni jembe sana.
Yaaaaaaap!Mkuu ndo yule aliumia leo akatolewa dk za mwisho mwisho au leo hakucheza?
Mkude uwezo wake bado anatakiwa au imarishe yuko taratibusana, hauwezo wa kucheza mipira ya juu, mvivu kukaba ila anao uwezo wa kukaa na mpira tatzo uharaka hana. Mbaya zaidi hana nidhamu.Pale Simba mtu aliyekua akimfichia udhaifu ni Kotei.Sote tunajua kiwango cha Jonas Mkude wa Simba kilivyo msimu uu amekua na kiwango bora aana cha kushangaza kocha mkuu wa Staz ameamua kumuacha kwa sababu zisizoeleweka.
Mkude uwezo wake bado anatakiwa au imarishe yuko taratibusana, hauwezo wa kucheza mipira ya juu, mvivu kukaba ila anao uwezo wa kukaa na mpira tatzo uharaka hana. Mbaya zaidi hana nidhamu.Pale Simba mtu aliyekua akimfichia udhaifu ni Kotei.