Je, ni sahihi mume kumpiga mke kisa kamfumania nyumba ya kulala wageni?

Je, ni sahihi mume kumpiga mke kisa kamfumania nyumba ya kulala wageni?

Acha ya kufumaniwa kuna mmoja kapigwa kisa katoka kwenda kwa jirani kumsaidia kupika walikuwa na kisheree kidogo aisee nilishangaa sana maisha wanayoishi hawa wanawake
 
JE ni SAHIHI

Habari ndugu zangu wanajamvi poleni na shughuli za kutafuta mkate wa kila siku, kuna jambo nimeliona mahali nikaona ni vyema niwashirikishe magreat thinkers of bongo land.

Ilikuwa mida ya saa mbili usiku ndani ya jiji la Mbeya nilikuwa naenda mgahawani kupata chakula cha usiku, nikapita karibu na guest house nikasikia nje ya guest house kuna mwanamke anapigwa sababu kamfuatilia mume wake guest house ambako mme kapeleka michepuko.

Mume aliamua kumshushia kipigo mke wake. Hapo ndio nauliza je mume alifanya uamuzi sahihi?
Kwenye mahusiano kuna mengi sana na wengi huhukumu kulingana na silika zao badala ya uhalisia
 
Back
Top Bottom