Je, ni sahihi mwenyekiti wa chama kinachotegemea kushika Dola anaposhauri chama chake kukwepa kodi?

Nazgur

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2020
Posts
3,724
Reaction score
2,855
Tumemsikia mbunge Lijualikali akisema kuwa Mbowe alishauri wabunge ambao hawajatumia exemption kwa kununua magari basi watumie mwanya huo kwa kupitisha gari la chama bila kulipa kodi.

Namkumbuka jambo hilo lilileta maswali kipindi cha CAG aliyepita lakini hakukuwa na majibu sahihi.

Sasa je, kwa kiongozi kama huyu anafanya madili bado hajaingia madarakani. Je akiipata hiyo nafasi itakuwaje, Watanzania hatutauzwa?

Je, anaweza kuwasimamia watu ambao amewashirikisha kufanya uhalifu wakati anajuwa wanamfahamu kwa tabia yake?

Je, chama chake kinastahili kupewa nchi?

Kwa kosa hilo la kodi, Mbowe achukuliwe hatua?
 
Si aende mahakani akafungue kesi jamani?
Ajitahidi mapema ili Mbowe akamatwe apewe uhujumu awekwe karantii
 
Mwenyekiti anahusika na mambo ya manunuzi ya Magari? Yaani hofu yenu kwa Mbowe na CHADEMA imewaganda mpaka hamujui mfanye nini ili mfikie malengo yenu.

Tatizo CCM haijui ianze kupambana na Mbowe ama CHADEMA au Mbowe ndiyo Uimara wa CHADEMA ama ni CHADEMA ndiyo uimara wa Mbowe!!!
 
Tumemsikia mbunge Lijualikali akisema kuwa Mbowe alishauri wabunge ambao hawajatumia exemption kwa kununua magari basi watumie mwanya huo kwa kupitisha gari la chama bila kulipa kodi.

Namkumbuka jambo hilo lilileta maswali kipindi cha CAG aliyepita lakini hakukuwa na majibu sahihi.

Sasa je, kwa kiongozi kama huyu anafanya madili bado hajaingia madarakani. Je akiipata hiyo nafasi itakuwaje, Watanzania hatutauzwa?

Je, anaweza kuwasimamia watu ambao amewashirikisha kufanya uhalifu wakati anajuwa wanamfahamu kwa tabia yake?

Je, chama chake kinastahili kupewa nchi?

Kwa kosa hilo la kodi, Mbowe achukuliwe hatua?
Wewe kweli hata kudanganya mtoto mdogo kwa pipi imekushinda.
Hivi kashfa nzito za EPA,MEREMETA,BUSWAGI,TPA,ESCROW, SONGAS,RICHMOND watuhumiwa walikuwa serikali ya CHADEMA?
 
Anzia na Billicana ndio utajua kuna mlipa Kodi hapo ama lah!
 
Mwenyekiti anahusika na mambo ya manunuzi ya Magari? Yaani hofu yenu kwa Mbowe na CHADEMA imewaganda mpaka hamujui mfanye nini ili mfikie malengo yenu.

Tatizo CCM haijui ianze kupambana na Mbowe ama CHADEMA au Mbowe ndiyo Uimara wa CHADEMA ama ni CHADEMA ndiyo uimara wa Mbowe!!!
"Kamati kuu ndogo."
 
Wewe kweli hata kudanganya mtoto mdogo kwa pipi imekushinda.
Hivi kashfa nzito za EPA,MEREMETA,BUSWAGI,TPA,ESCROW, SONGAS,RICHMOND watuhumiwa walikuwa serikali ya CHADEMA?

Kwnye hii maada hayo ya buzwagi na EPA yanaingiaje bwashee,
Hujui chama cha mbowe kinaitwa cha demokrasia na maendeleo sasa kikingiza ufisadi hiyo demokrasia na maendeleo vitakuwa na tija tena?
 
Back
Top Bottom