Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, huko dukani ulishaona zikifichwa?Baadhi ya wanawake wanatabia ya kuanika chupi kwenye kamba bila kujali wanaishi na nani , je iko sawa?
Je huko dukani ulishaona zikifichwa??
Unaficha chuppi ya elfu tano uvunguni lakini gari ya milioni 8 unailaza nje,una akili kweli wewe
[emoji1][emoji1] safi Sanaa. Dukani zinaachwa wazi wazi tu. Na hata wengine wanatembeza mitaani huwa wanazishika mkononi na kutembea nazo Tena wanaume. Lkn mtu akianika kwake anaonekana eti amevunja Sheria ya nchi . Ajabu kwa kweliJe huko dukani ulishaona zikifichwa??
Unaficha chuppi ya elfu tano uvunguni lakini gari ya milioni 8 unailaza nje,una akili kweli wewe
Ni sawa kwa sababu jua (mwanga) unaua vijimelea haya masuala ya kuanika nguo za ndani chini ya godoro na kwenye giza yanachangia wanawake wengi kuwa na infectionBaadhi ya wanawake wanatabia ya kuanika chupi kwenye kamba bila kujali wanaishi na nani , je iko sawa?
Haina shida ila kama ni wakike mwanaume asiye mume wako kama ni mwerevu akisha jua nguo zako za ndani na rangi zake ni rahisi sana pakuanzia kukutongoza na akikazia lazima akutie bila hata kupa bukuBaadhi ya wanawake wanatabia ya kuanika chupi kwenye kamba bila kujali wanaishi na nani , je iko sawa?
Haina shida ila kama ni wakike mwanaume asiye mume wako kama ni mwerevu akisha jua nguo zako za ndani na rangi zake ni rahisi sana pakuanzia kukutongoza na akikazia lazima akutie bila hata kupa bukuJe huko dukani ulishaona zikifichwa??
Unaficha chuppi ya elfu tano uvunguni lakini gari ya milioni 8 unailaza nje,una akili kweli wewe
Zinaitwa za ndani, yapaswa zibaki ndaniBaadhi ya wanawake wanatabia ya kuanika chupi kwenye kamba bila kujali wanaishi na nani , je iko sawa?
Kama dukani tu. Ya nini wapate fangasi?Baadhi ya wanawake wanatabia ya kuanika chupi kwenye kamba bila kujali wanaishi na nani , je iko sawa?
Mambo ya kushangaza sana haya ahaaaa[emoji1][emoji1] safi Sanaa. Dukani zinaachwa wazi wazi tu. Na hata wengine wanatembeza mitaani huwa wanazishika mkononi na kutembea nazo Tena wanaume. Lkn mtu akianika kwake anaonekana eti amevunja Sheria ya nchi . Ajabu kwa kweli
Ni vyema kuanika nje ili zikauke moja kwa moja, badala ya kuanika ndani ambapo zinatengeneza uvundo kwanza ambacho ni chanzo cha fagasi na bakteria.Baadhi ya wanawake wanatabia ya kuanika chupi kwenye kamba bila kujali wanaishi na nani je, iko sawa?
Chupi bwanga bwanga....Ni vyema kuanika nje ili zikauke moja kwa moja, badala ya kuanika ndani ambapo zinatengeneza uvundo kwanza ambacho ni chanzo cha fagasi na bakteria.
Kwa wale wanaoishi na ndugu wasiostaili kuona nguo zao za.ndani, ni vyema kuweka KANGA nyepesi na kubana/ vibanio juu yake ili iendelee kufunika.
sio kweli ukifua nguo kwa maji ya sabuni bac iyo infection haina tena nafasi muhim sabuni inauwa kila kitu ndio maana tunashauriwa tukitoka chooni tunawe tena na sabuniNi sawa kwa sababu jua (mwanga) unaua vijimelea haya masuala ya kuanika nguo za ndani chini ya godoro na kwenye giza yanachangia wanawake wengi kuwa na infection