Je, ni sahihi nguo za ndani zianikwe nje zikauke na jua?

Sio kweli ndio maana unashauri nguo za ndani zianikwe kwenye mwanga. Kuna vimelea vinauawa na mwanga.
sio

sio kweli ukifua nguo kwa maji ya sabuni bac iyo infection haina tena nafasi muhim sabuni inauwa kila kitu ndio maana tunashauriwa tukitoka chooni tunawe tena na sabuni
 
[emoji1][emoji1] safi Sanaa. Dukani zinaachwa wazi wazi tu. Na hata wengine wanatembeza mitaani huwa wanazishika mkononi na kutembea nazo Tena wanaume. Lkn mtu akianika kwake anaonekana eti amevunja Sheria ya nchi . Ajabu kwa kweli
Kuna kitu kinaitwa taboo, imajini unaona chupi ya mama yako ama baba yako ama ya mkwe wako, camooon be civil
 
ni vizuri kuanika juani, ndani hua hazikauki vizuri zinabaki na unyevu hivyo itakua rahisi kupata fangas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…