Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?

Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?

Inaonekana dereva wa polisi alimuacha afande mwenzake kwa bahati mbaya sasa wamekuja kukutana mtaani wakaanza kutukanana na baadaye wakaanza kupigana.

Je, ni sahihi mapolisi kupigana hadharani?
HAPANA. Na sio kwa Mapolisi tu, hata kwa mtu yeyote yule. Hilo ni kosa kisheria.
Wewe ni nini kilichokufanya hata uone kwamba alimuacha mwenzake kwa bahati mbaya?
BTW: Timbwili liliishaje mkuu?
 
WAACHE WAUANE TU "KIJANA KATAA UPOLISI NI LAANA KALI SANA KITENDO CHA KUINGIA TU MPAKA WAJUKUU WAKO INAWAKUTA HIYO LAANA NA NI GUNDU KALI SANA UTACHUKIWA NA KILA MTU NAZANI MMENIELEWA VIJANA
 
HAPANA. Na sio kwa Mapolisi tu, hata kwa mtu yeyote yule. Hilo ni kosa kisheria.
Wewe ni nini kilichokufanya hata uone kwamba alimuacha mwenzake kwa bahati mbaya?
BTW: Timbwili liliishaje mkuu?
Mmoja alikuwa anamuambia mwenzake " hili gari siyo mali ya mamaako"

Timbwili liliisha kwa dereva kupigwa ngumi moja kwa sufuri
 
Back
Top Bottom