Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?

Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?

Inaonekana dereva wa polisi alimuacha Afande mwenzake kwa bahati mbaya sasa wamekuja kukutana mtaani wakaanza kutukanana na baadaye wakaanza kupigana.

Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?
Kupigana hadharani ni kosa kwa yeyote hapa nchini kasoro kama wanapigana kwenye ukumbi uliokubalika kisheria kama vile kwenye mchezo wa ndondi.
 
sio polisi tu ni binadamu yoyote na sio hadharani tu hata huko kusikoonekana sio sahihi
Huko kusikoonekana ni poa kabisa kwani mnayamaliza kimtindo na akili zinarudi pia na heshima inakuwepo.
 
Inaonekana dereva wa polisi alimuacha Afande mwenzake kwa bahati mbaya sasa wamekuja kukutana mtaani wakaanza kutukanana na baadaye wakaanza kupigana.

Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?
Ushahidi wa picha au clip

"Pale mlinda amani anapogeuka kuwa mvunja amani je nchi inakuwa salama?" Namnukuu FaizaFoxy
 
Vipi kwa ulivowaona mkono wanauweza? Au tuendelee kuziogopa sare zao tuu.
 
Polisi hawana nidhamu ya kuheshimu na kuwajali raia watakuwa na nidhamu ya kuheshimiana wao eenyewe?

Jeshinla polisi likishakuwa na ufisadi (corruption) tuombe Mungu tu tusikutane nao.
 
Inaonekana dereva wa polisi alimuacha Afande mwenzake kwa bahati mbaya sasa wamekuja kukutana mtaani wakaanza kutukanana na baadaye wakaanza kupigana.

Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?
Nao ni raia kama wewe na yule

Nao wanahisia kama wewe na yule kuzinguguana kupo!

Nao wanaishi na kujamiiana (si kujamiana) kama wanajamii wengine!

Acha kupigana tu hadharani wakiwa hawana sare, huwa pia wanakopa dukani kwa Mangi kama mimi na wewe!

Hakuna cha ajabu hapo
 
Back
Top Bottom