Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Yaani niwapige polisi picha? Unanitakia mema?Weka picha tuone wanavyozichapa
HAPANA. Na sio kwa Mapolisi tu, hata kwa mtu yeyote yule. Hilo ni kosa kisheria.Inaonekana dereva wa polisi alimuacha afande mwenzake kwa bahati mbaya sasa wamekuja kukutana mtaani wakaanza kutukanana na baadaye wakaanza kupigana.
Je, ni sahihi mapolisi kupigana hadharani?
Bila picha ni uzushiInaonekana dereva wa polisi alimuacha afande mwenzake kwa bahati mbaya sasa wamekuja kukutana mtaani wakaanza kutukanana na baadaye wakaanza kupigana.
Je, ni sahihi mapolisi kupigana hadharani?
Mmoja alikuwa anamuambia mwenzake " hili gari siyo mali ya mamaako"HAPANA. Na sio kwa Mapolisi tu, hata kwa mtu yeyote yule. Hilo ni kosa kisheria.
Wewe ni nini kilichokufanya hata uone kwamba alimuacha mwenzake kwa bahati mbaya?
BTW: Timbwili liliishaje mkuu?
Kupigana mafichoni ni halali.Kupigana hadharani ni kosa
Sio kosa