Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?

Sio sahihi haswa eneo wanalofahamila au wakiwa wamevaa uniform zao.
 
Umenikumbusha aisee,

Kuna siku nilikua napita pale kimara mwisho mara nikaona watu wazima kabisa wanapigana ilikua aibu sana.

Yaani kwa umri ule haikupasa kupigana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…